Morxmir Mwasala
Member
- Apr 29, 2013
- 6
- 0
Hatimaye hatua za mwisho kwa ajili ya uchaguzi ngazi ya raisi chuo kikuu cha ruaha kuisha leo, wanazuoni wengi wameonekana kuwakubali wagombea kwa kiasi fulani , pia wagombea wanaoneka kugusa hisia za wadau kwa kukubalika.
Kwa ujumla mbwembwe za ushindi jioni ya leo zitajulikana kesho katika hatua ya UCHAGUZI.
Kwa ujumla mbwembwe za ushindi jioni ya leo zitajulikana kesho katika hatua ya UCHAGUZI.