Kampeni za matusi dhidi ya Lowassa Jimbo la Rorya

koryo

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
639
Reaction score
278
Leo mchana nimehudhuria kampeni ya CCM katika kijiji cha Nyanduga wakiwemo Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Ndugu kiboye namba 3 na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Lameck Airo.

Ndugu zangu sikuamini macho yangu na masikio yangu yale matusi yalivyokuwa yanaporomoshwa dhidi ya Lowassa, Mbowe, Mbatia na Owawa.

Ni aibu kuyaandika hapa lakini hawa Ndugu zetu wameishiwa sera muda wote wa kampeni ni matusi.

Huyu namba 3 alikuwa muuza mafuta kwenye kituo cha Gachuma na akabebwabebwa na hatimaye akafikia hapo alipo. Huyu Mbunge aliyemaliza muda wake ninyi mnajua elimu yake hata Bungeni ukimuuliza Hansard ni nini hawezi kukujibu.

Hahudhurii Bungeni na hata swali na majadiliano kwenye Bunge ni mama mkwe kwake. Tufike mahali tusiwe tunawatukana wenzetu ili tunatakiwa kunadi sera za Chama husika.
 
Huyo airo std 7 naye anatukana mtu? Mbunge gani anayekwepa kuongea bungeni? Tena siku akiingia bungeni anakaa sehemu ambayo camera za tv hazifiki. Apigwe chini ccm wanapigania matumbo yao tu. Ccm ni chama kinachoendeshwa kwa rushwa, maria sarungi alikuwa bora mara mia kuliko huyo airo.
 
Leo mchana nimehudhuria kampeni ya CCM katika kijiji cha Nyanduga wakiwemo Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Ndugu kiboye namba 3 na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Lameck Airo.

Ndugu zangu sikuamini macho yangu na masikio yangu yale matusi yalivyokuwa yanaporomoshwa dhidi ya Lowassa, Mbowe, Mbatia na Owawa.

Ni aibu kuyaandika hapa lakini hawa Ndugu zetu wameishiwa sera muda wote wa kampeni ni matusi.

Huyu namba 3 alikuwa muuza mafuta kwenye kituo cha Gachuma na akabebwabebwa na hatimaye akafikia hapo alipo. Huyu Mbunge aliyemaliza muda wake ninyi mnajua elimu yake hata Bungeni ukimuuliza Hansard ni nini hawezi kukujibu.

Hahudhurii Bungeni na hata swali na majadiliano kwenye Bunge ni mama mkwe kwake. Tufike mahali tusiwe tunawatukana wenzetu ili tunatakiwa kunadi sera za Chama husika.

Ukimshinda Airo Rorya nakupa Gari mpya.
 
hizi siasa za matusi tumejengwa hivi tangu zama, mkosamali anasema atakae ichagua ccm apimwe akili alikuwa anamaanisha huyo atakuwa mpumbavu, mkapa naye hivyohivyo, kwahiyo suala hapa ni elimu mbovu kwa wananchi, kwani wengiwao hushangilia baada ya kuhoji!!!! siasa za hovyo si kwa ccm wala upinzani, wote hawafanyi siasa bali uhuni tuu!!!!
 
Atashindwa asubuhi saa moja na dakika moja ,unafikiri watu bado wana abudu pesa we vipi wewe ala!
 
Ukimshinda Airo Rorya nakupa Gari mpya.

Hivi majitu majinga kama wewe sasa unataka watu tuanze kupishana lugha humu?LAMECK anaweza kurudi bungeni kwa kigezo gani? akyanani akirudi bungeni najinyonga mchana kweupe,kamavip tunza huu uzi.
 
Kama sera ni matusi atashinda. Najua moja tu, ccm weshashindwa wajiandae kutafuta nafasi upinzani
 
Hivi majitu majinga kama wewe sasa unataka watu tuanze kupishana lugha humu?LAMECK anaweza kurudi bungeni kwa kigezo gani? akyanani akirudi bungeni najinyonga mchana kweupe,kamavip tunza huu uzi.
Kwani aliingia kwa kigezo gani!
 
Leo mchana nimehudhuria kampeni ya CCM katika kijiji cha Nyanduga wakiwemo Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Ndugu kiboye namba 3 na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Lameck Airo.

Ndugu zangu sikuamini macho yangu na masikio yangu yale matusi yalivyokuwa yanaporomoshwa dhidi ya Lowassa, Mbowe, Mbatia na Owawa.

Ni aibu kuyaandika hapa lakini hawa Ndugu zetu wameishiwa sera muda wote wa kampeni ni matusi.

Huyu namba 3 alikuwa muuza mafuta kwenye kituo cha Gachuma na akabebwabebwa na hatimaye akafikia hapo alipo. Huyu Mbunge aliyemaliza muda wake ninyi mnajua elimu yake hata Bungeni ukimuuliza Hansard ni nini hawezi kukujibu.

Hahudhurii Bungeni na hata swali na majadiliano kwenye Bunge ni mama mkwe kwake. Tufike mahali tusiwe tunawatukana wenzetu ili tunatakiwa kunadi sera za Chama husika.
Raya Tobias alishavuliwa uenyekiti?!
 
Kwani kuuza mafuta ni kosa?
 
Acha uzushi na kutafuta kuhurumiwa.Hapakuwepo na tusi hata moja.Jibuni hoja msijifiche.hatuwahurumii ng'o
 
Back
Top Bottom