Kampeni za Kingwendu

Kampeni za Kingwendu

waandishi w habari bongo ni hovyo,coverage ya huyu jamaa ingetingisha nchi kila ifikapo SAA mbili kamili,kila MTU ana hamu ya kumsikia
 
anasema ccm wote mapanya wametugwegweda weee mpaka tumechanganikiwa hatuna hamu.
plus sauti macho na vitendo utacheka!
 
waandishi w habari bongo ni hovyo,coverage ya huyu jamaa ingetingisha nchi kila ifikapo SAA mbili kamili,kila MTU ana hamu ya kumsikia

Unacheza na pesa wamenunuliwa na Fisadi mkuu wapo kwake
 
Hahaha huyo jamaa i wish nimuone
Nimeiona leo video yake on Facebook, jamaa yupo vizuri sana kwenye kujenga hoja,,,,,yupo vizur even though anatumia vionjo vya kuchekesha ila ukweli hatok nje ya mada,yaani ule usanii pia anautumia kufikisha ujumbe.... la pili the guy is so simple the way anavyovaa,havai kikomedi ila anavaa kawaida sana na wala havai sare za chama yaan CUF anavaa tu nguo za kawaida,Watu naona wanamsikiliza kwakweli I mean wa kutosha
 
Hahahahahahahaaaaq we mehu nini...in kingwendu`s voice
 
kungwendu wasipomchakachua wezi wa kura... mjengoni anakwendaaaaaa tena ushindi wa asubuhi tu
 
Back
Top Bottom