Lema anawambia kina mama akipewa sukari,pesa na wakitakiwa kumtukana lema iliwapewe pesa zaidi amewaruhusu ila kura kwa nassari
... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ni kwa CHADEMA, je ni nani tena wa kutuzuia?????????????
mambo yepi hayo? hebu fafanua...
mambo yepi hayo? hebu fafanua...
wakuu in fact mungetupiamo vipicha ingekuwa raha zaidi.... offcourse ccm ni alijojo now.. actualy upepo unawapeleka baharini wakaliwe na papa
teheee teheee..... Hiyo ndiyo CDM bana walisema ni chama cha msimu.. ngoja moto uwaunguze sasa..
Tupo pamoja makamanda endeleeni kutujuza kinachoendelea!
Joshua Nassari:Amezaliwa,amebatizwa,amesoma,amebarikiwa,amekulia na anaishi arumeru na anaongea kimeru na kuzijua mila za kimeru......
Vs
Sioi Sumari:Amezaliwa,amekulia kenya,amesoma Uk,Usa anaishi mbezi dsm,ajui kimeru wala mila zake.
Pambano ni kati ya dogo janja na kubwa jinga......kitu pipooooz power!
Kila siku wanawaza kuibiwa.....mwizi always humuona mwenzake ni mwizi kama yeye!!
Pambano ni kati ya dogo janja na kubwa jinga......kitu pipooooz power!
Karibu kamanda sisi tumekuja kutimiza haki yetu ya msingi