Wakuu siku hizi mbili kumekuwa na ukame wa picha za kampeni humu jamvini.Nimeziona kwenye uzi wa www.mjengwablog.com Mwenye uwezo wa kuzileta hapa atuletee,maana magamba wasije wakapata visingizio
Mgombea wa CHADEMA Bwana Joshua Nassari akihutubia mamia ya wananchi leo jioni maeneo ya Ngarenanyuki.Ameendelea na kampeni leo baada ya kusitisha jana kwa ajili ya kufiwa na baba mdogo wake
wana arumeru msituangushe bunge letu limechangamka na kutuvutia kwa sababu ya uwepo wa changamoto za vijana wa chadema, mpeni kura za kumwaga za ndiyo bwana nasari atatutetea uyu kijana, kumchagua mkwe wa fisadi el, fisadi la richmond (aka richard wa monduli) siyoi ni kulikabidhi taifa kwa mafisadi pia kulirudisha taifa nyuma na kuwasaliti watanzania wenzenu tunaotaabika ktk lindi la umaskini uliotokana na ufisadi wa el (baba mkwe wake siyoi)
Wakuu siku hizi mbili kumekuwa na ukame wa picha za kampeni humu jamvini.Nimeziona kwenye uzi wa www.mjengwablog.com Mwenye uwezo wa kuzileta hapa atuletee,maana magamba wasije wakapata visingizio
mh mi sifagilii maisha ya mtu najifagilia mwenyewe...!!!!!! Kampeni kwa baadhi ya sisi wasomaji hazitusaidii na wala hatuna time nazo, tunawafagilia mkipata hayo madaraka inakuwa ndo basi tena mtanikoma...fuc******!