Kampeni za chadema chalinze

Kampeni za chadema chalinze

Hela za kampeni hazijatoka tnasubiri ruzuku ya serikali ndiyo tuanze hizo kampeni vinginevyo mtatuona hivi hivi hatuna la kufanya.
 
Nimemuona mh.Lema yupo bize na mambo ya KATIBA, nahisi huu mchakato wa KATIBA utawaharibia sana CDM hasa baada ya hotuba ya JK kuivuruga rasimu ya KATIBA iliyoletwa na Tume ya Jaji Warioba.

Makubwa haya! Lema hana ubavu wa kuchangia chochote cha maana katika hili.
 
Taarifa sahihi zipo.. CHADEMA tunafanya kazi vizuri... Jumamosi hii tumefanya kazi kubwa sana mkange, mdaula, Lunga, Diozile, na Masimbane. Tutajitahidi kuwajuza habari Zaidi
Mwenyekiti CHADEMA (w) Bagamoyo.

Mbona hatuwekewi picha za "NYOMI" kama kawaida yenu?
 
CHADEMA tuna shinda ushindi wa kimbunga chalinze.... makamanda kutoka kilmanjaro na Arusha wanawasili jumatano na viroba vya kutosha pamoja na bangi.... Ccm jiandaeli kulia.

Pipooooozzzz....
 
Mtajitahihidi sana kupinga ukombozi wa watanzania, lakini kumbukeni, hakuna marefu yasiyo ncha, zoezi la ukombozi liko palepale, ukizuia leo, kesho lipo, na ni lazima ukombozi upatikane, na muda ndio huu, wala msifikili kuchukua jimbo la Kalenga kibabe, na hata kama mkichukua na Chalinze kibabe tena, kwamba ndio mmefanikiwa kuzima ukombozi, no, ukombozi ukp palepale.
 
Iwapo nyie ni wapenda demokrasia si ushabiki njooni sehemu zifuatazo mjue Chadema ipo kazini.. Watenda kazi ni wengi wenye ufahamu mzuri wa siasa za ushindani.
Leo jumapili tuko:
Kiwangwa, Pingo, Pera, Mindutulieni, Kwaikonje, Kilemela na Mandela. Maeneo yote haya kazi nzuri inafanyika. Wanaopiga kilele saana ni ishara ya kukamatika..

Duh! Mmetisha mikutano 7 kwa siku! Sijui kila mkutano mtafanya muda wa nusu saa nadhani au mshapewa chopa? Hilo goma mmeachiwa wenyewe mhangaike nalo hakuna wa kutia maguu huko mi'nilidhani hapo nd'o mtaleta Wabunge,Madiwani na Wenyeviti wa vijiji kutoka kila pande kumbe hata wazee wa ishu wa pale Ufipa hawataki hata kutengeza deal Chalinze.
 
Chalinze hakuna chopa, Mkataba wa malipo ya chopa iliyotumika kalenga bado haujatimia kulipwa
 
Kwahiyo ccm wamenunua hadi Tz daima . Km unataka updates za huko kila siku jitahidi kupata nakala yako ya Tz daima au haipatikani siku hizi ?
 
Nimemuona mh.Lema yupo bize na mambo ya KATIBA, nahisi huu mchakato wa KATIBA utawaharibia sana CDM hasa baada ya hotuba ya JK kuivuruga rasimu ya KATIBA iliyoletwa na Tume ya Jaji Warioba.

Aisee! kazi kweli!
 
Nasikia safari hii wanashuka na chopa kumi

Chama hakina kitu, pia wana madeni, sijui kama watapeleka hata chopa moja, ukizingatia mgombea wa ccm tayari ameshashinda kabla ya uchaguzi, na mgombea wa Chadema hana maslahi kwa viongozi sijui kama atapata msaada kama aliopata Tendega.
 
MSALANI na bucho endeleeni tu ukombozi hauji papo kwa papo unaenda mdogo mdogo mpaka tunakomboka,dsm kulikuwa na mb wa cdm? Tushateka majimbo ma2 dsm mwaka 2015 ndio mtajua,chopa ni means ya kufanyia kampeni vizuri na means ya usafiri mzuri kuepuka changamoto za barabara za ndani,Chopa zitapaaa hata mia ikiwezekana.
 
Last edited by a moderator:
Nimemuona mh.Lema yupo bize na mambo ya KATIBA, nahisi huu mchakato wa KATIBA utawaharibia sana CDM hasa baada ya hotuba ya JK kuivuruga rasimu ya KATIBA iliyoletwa na Tume ya Jaji Warioba.

Waliopendekeza serikali 3 ni pamoja na;
1.Baraza la wawakilishi ZnZ
2.Baraza la ofisi ya waziri mkuu
3.Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mtachonga sana chadema kama chuma kitabaki kuitwa chuma ata kama amtaki mlete nawewe mami wako awe kimada chopa ije kwenu
 
Nasikia safari hii wanashuka na chopa kumi

10151914_1418711911715019_810064842_n.jpg
 
Back
Top Bottom