Kampeni Ya utaifa kwanza ni unafiki

Kampeni Ya utaifa kwanza ni unafiki

Phillemon Mikael

Platinum Member
Joined
Nov 5, 2006
Posts
10,590
Reaction score
8,718
Tanzania hajawahi kuonyesha utaifa kama wakati wa vita ya kutafuta uhuru,tuliungana wote bila kujali rangi,kabila na dini hadi tukawa hutu

Baada ya hapo utaifa uliimarishwa kupitia Lugha ya Kiswahili,vijijo vya ujamaaa ( pamoja na matatizo yaliyotokea) ,na utamaduni wetu uliunganisha makabila zaidi ya 120 yote pamoja

Utaifa ulidhihirishwa kwa kuungana pampja kupigania uhuru wa nchi zilizo.kusini mwa afrika kwa kuchangia pesa na askari waliopigana sambamba na kutoa elimu na mafunzo ya kijeshi kwa waafrika wenzetu na tukawa makazi ya wote waliokandamizwa duniani na wapigania uhuru wakiwamo kundi la.Black.Panthers ambalo lilikua likipinga ubaguzi marekani waliopewa makazi...tanzania ,arusha

Vita vya kagera vikawa kilele cha uzalendo wake kwa waume walichanga kila kitu kuanzia kuku magari na kujitoa.maisha yao kulinda mipaka ya nchi

Uzalendo uliokubuhu ni kuendelea kumuunga mkono Mwalimu nyerere pale IMF na WB walipomtendea kama Zimbabwe ,walituwekea vikwazo ...pengine waliogopa uwezo wa.Tanzania kuweza kupigana vita zaidi ya Tatu kwa mpigo..bila..msaada hasa wa askari wa nch kubwa ambao..zipo zilizotaka kutupa askari ili tukishinda tusijisifu sana ....wakati tunapigana uganda Brigade nyingine ilikua Msumbiji ,kulikua na kikundi chini ya iddi ganhu Sheli.sheli , kulikua pia na...askari wetu Comoro..na Re Unuon...wakati huo kulikua na bwana...wa.kivita akiitwa BOB DENARD alikuwa akivipindua hivyo visiwa kadiri alivyotaka tulienda kuvilinda
Kwa hiyo kimkakati vikwazo alivyowekewa mwalimu vilikuwa mkakati maalum...ili kuyumbisha uchumi kwa kuhofia nguvu zake zingemfanya awe kiburi..zaidi ...vikwazo vilisababisha viwanda zaiidi ya 500 kufa vingine kwa kukosa simply spears ....kiukweli yaliowapata zimbabwe yalikua madogo ,walishangaaa bado watamzania hawakumuhasi Mwalimu ..na yeye alipogundua tunateswa kwa ajili ya misimamo yake akaondoka
Pia ikumbukwe inahidiwa mfanyabiashara anko Thom ( thomas lugakingira ) aliyechochea na kufanikiwa kushawishi kundi la wanajeshi vijana kupanga mapinduzi mwaka 1983 alikuwa na ufadhili mkubwa wa nchi za magharibi na ndio maaana alifanikiwa kutoroka Magereza korofi ya Ukonga akiondoka na...kunndi...lote la askari wa zamu na mkuu wa gereza , wakaenda nao...ulaya ,sio kawaida ,haya yasemwe yaandikwe ili watu wajuwe uzalendo uliokuwepo
Utashangaaa alipoingia Mwinyi IMF na wB walitoa masharti yaliyolenga kuondoa uwezo wa Tanznaia kujitegemea kama...kuuza viwanda ,kuondoa elimu na.afya bure na...mengine .....

Leo hii tunapofanya kampeni ya uzalendo tunategemea kuona...ratiba yote iweke itikadi za siasa pembeni ...tuone...kabisa ushiriki wa kila mmoja na...kuheshimiwa bila kujali siasa ...kama ni...wastaafu basi tuwaone wote wakiwamo...Maalim..Seif ,lowassa ,sumaye ...na wengine ambao...inaonekana waliwekwa kando na.mfumo kwa ajili ya siasa ...
Lugha itakayotumika iheshimu watanzania wa...kila hali na sio jukwaaa la vijembe au la...kupokea wanachama wa kisiasa ...
Wasanii watumike.wote hata wale ambao.wanaimba against...system kama wagosi na na...wengine
Nasema hayo kwa kuwa ni kweli level...ya uzalendo...iko chini sana...kiasi...najiuliza...kama leo...tukivamiwa itakuwaje ..kama hata ushauri wa kitaaalamu wa...mtu wa mrengo tofauti unachukuliwa....tofauti na...usaliti

All the best
 
Uzalendo haiwezi kuwepo ili hali wao wanajipendelea kimaendeleo kuliko wengine, angalia tu uwanja wa ndege chato. Hakika Mimi siwezi kuwa mzalendo
 
Sasa Mnataka Sizonje show za kuzindua ziishe? Acheni aka Kick kwanza, akitoka huko Mtanzania Mwingine apigwe Risasi/ atekwe kukazia Somo la Uzalendo.

Zidumu fikira za Mwenyekiti wa CHAMA CHA MAJAMBAZI
 
Sio lazima kila jambo liendane na mahaba yako
Wewe pinga,waliowengi wanaunga mkono
 
hii ni mwanzo wa kampeni ya kumuongezea mtu mda wa kutawala...utaona
 
Uzalendo, hata ukiwa ule wa kweli kabisa ambao haujagubikwa siasa za kijinga kama huu tunaouziwa sasa, si kitu kizuri.

Hitler aliua Wayahudimamilioni kwa mgongo wa uzalendo.

Stalin aliua mamilioni ya watu wa nchi yake kwa mgongowa uzalendo.

Uzalendo umesababisha vita nyingi sana zisizo na lazima.

Ndiyo maana Albert Einstein alisema "Nationalism is an infantile disease. It is the measles of mankind."
 
Uzalendo ni UCCM...

Alaaniwe aliyaendika jina la huyu bwana kwenye kile Kikaratasi.
 
Kampeni ikiongozwa na wale Jamaa njaa kali
 
anachofanya bwana mkubwa ni kutumia vita ya kupambana na ufisadi kuhakikisha anawafilisi watu wote ambao wanaweza kuwasaidia wanasiasa wa ndani na nje ya chama, pili akahakikisha ule mteremko wa stahiki za wabunge zilizokuwa zinawapa kiburi cha pesa anaziondoa ....na hata katibu wa bunge mshakaji aliyekuwa anawasainia safari hasa zile ambazo hazilipiwi na serikali naye kamuondoa na safari hata kama inalipiwa hadi kibali cha ikulu.
Hii imewatangazia wabunge wa vyama vyote njaaa ya ajabu .....alafu baada ya hapo ndio timu ya DAB inapita na kapu na kuanza kuwagawia wabunge wanaoonekana wana muunga mkono ....hasa wa chama chake ....na wale ambao wako tofauti hawapati kitu .....
Kumbuka wabunge wengi wa mikopo mikubwa ya hadi milioni 400 ..kwahiyo mishahara inalipa mkopo ...na wengi walitegemea wapate pesa kwa safari au ziara za kutembea na kamati ambazo nazo zimebanwa na hata wakienda wanakopwa ....na wanaowatembelea nao hawana pesa ya kuwakaribisha kama zamani .....
Hii inafanya ubunge huwe hauna maslahi yeyote , lengo anataka bunge kufikia mwaka 2020 watu wote wanaojielewa watakataa kazi ya ubunge na hapo ndio ataingiza watu wa ndiooooooo wengi ...

kamati kuu ya ccm asilimia 70@ tayari mwelekeo umeonesha watatokea wapi tayari ni tatizo kwenye corridor za dodoma ....mfano hata hapa dar mwenyekiti inajulikana ni shemeji kupitia kwa mume ...homie ...
 
Back
Top Bottom