Kampeni ya usafi sawa lakini DAWASCO maji shida Ubungo

Kampeni ya usafi sawa lakini DAWASCO maji shida Ubungo

chapachapa

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
93
Reaction score
21
Sawa tumeshiriki kampeni ya usafi na umefanikiwa .... Lakini karibu mwezi unaisha mabomba ya Dawasco hayatoi maji eneo la ubungo na vitongoji vyake
 
hili halina ubishi cha kushangaza pia kuwa ubungo hii ndipo wizara ya maji ilipo hatua mbele chache nipo ishi ubungo kibangu tunanunua maji dumu mia tano. Me nnachokiona kuna biashara inafanyika kati ya viongoz wa eneo husika na hawa wanaoyafata maji kwa magari nakuja kuuza kwa bei ya kununua unga nusu kilo. Nachoshauri mtoa mada jaribu kufika wizara utoe hili dukuduku lipatiwe dawa.
 
Ilo Tatzo lipo hadi huku kimara mwisho,na nimeambiwa ya kwamba kuna rushwa kati ya wenye magari ya maji dawasco ili jamaa waendelee kuuza maji yao kwenye magari,inaniuma sana.ili jipu linahitaji kutumbuliwa kabla halijaiva mwenye namba ya waziri mkuu atupie humu ndani ili nimpe hii Habar coz haya mambo ndio yanaumiza wananchi wa chini
 
Back
Top Bottom