illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
#kataanssf tuamkeni jamani hawa watu wanatunyanyasa hii ni kampeni sambaza hiyo hashtag kwa wingi iwezekanavyo.
#kataanssf tuamkeni jamani hawa watu wanatunyanyasa hii ni kampeni sambaza hiyo hashtag kwa wingi iwezekanavyo
kwa hiyo ukisema kataa nssf bila kutoa sababu unadhani kila mtu atakuelewa na atakubali? assumption yako ni kuwa watanzania wote ni wapuuzi sana na wanafuata upepo??
kama huelewi wewe pita kaka wale waliotendwa wanajua nini namaanisha
Nipo ndani nna ka forty kangu huko nna hasira nao vibaya mno hakuna faida yoyote nnayopata zaidi ya wao kutumia michango yangu bila mie kupata faida
Ni mfuko gani unatoa faida?