kampeni ya kimandolu

Nyamayao mimi ni mpiga kura wa kata ya Kimandolu, na nimeshaenda kuhakiki jina langu leo.

Habari za Moshi bibie!

nipo na wewe mji huu huu, moshi tunaenda kutambika na kurudi kwenye huu mji, Lol, mie kaloleni pale kwa mtendaji, jumapili nimemwambia shem wako tusamehe kanisa tukampitishe kessy aka mzee wa nukta pale, halafu nilikuwa nimesahau ishu ya kwenda kuhakiki, ntalifanya kesho.
 
What such a democracy, kugawana majimbo au viti ni demokrasia ya wapi get it or lose it hiyo ndiyo demokrasi.

I agree, you can get even 100% of votes in a constituent/county but it is very unhealthy when one part get 100% of victory of all the contested constituents/counties. it is simply single part-ism.
 
Katika kata ngumu chadema kushinda ni hii hapa. Mbona ukweli utajulikana tarehe 16. Watu wameona wamedharaulika kuletewa mpiga kura wa rombo aje agombee kimandolu. Wakati kuna vijana kimandolu waliosoma na wenye uwezo . Huyu mchg hata mipaka ya kimandolu haijui , matatizo ya wanakimandolu ndio atayajua ? Ni dharau kubwa sana watu wa kimandolu wamefanyiwa. Tukutane kwenye sanduku la kura jumapili tuwekeane heshima.
 
haaaa,mbavu zangu mkuu!
 

Kweli kabisaaaa namshanga mchungaji hivi kwa nni kanisa la betheli walinfkuza
 

Huo ukabila ndio unakuponzeni,mtanzania anaruhusia kugombea popote mzee laizer aliyekuwa uhamiaji aliwahawi kuwa diwani wa moshi mjini.inamaana wachaga hakuwepo?tunacho mkata edna ni kuwadi wa gidion na peter mafere.
 
Arusha ni Benghazi ya Tz, hawa waoga wote watakuja kujifunza uzalendo Arusha, mie niko A town ila naomba mungu tufute nyayo za wazinzi zilizoletwa na Mwigulu jamani makamanda
tukalinde kura makuyuni maana hali ni nzuri mno yaani Fisadi LOWASSA AMEBAKIA KUGAWA PESA KAMA NJUGU, MAKAMANDA TUIONYESHE KWAMBA CC NI WATU KIZAZI KIPYA NA TUMEDHAMIRIA UKOMBOZI WA KWELI.
KUICHAGUA CCM NI LAANA KWA NCHI NA VIZAZI VYAKO.
 
Huo ukabila ndio unakuponzeni,mtanzania anaruhusia kugombea popote mzee laizer aliyekuwa uhamiaji aliwahawi kuwa diwani wa moshi mjini.inamaana wachaga hakuwepo?tunacho mkata edna ni kuwadi wa gidion na peter mafere.

Acha kufata mkumbo ndg. Huyo mch hata mipaka ya kimandolu haijui. Matatizo ya kimandolu ndio atayajua? Nyie jidanganyeni muone mambo yatakavyokuwa jumapili. Watu wengine hawawezi kufikiria kwa niaba yetu.
 
Naam ndo mana akamua kufungua kanisa lake mwenyewe cdm wameamua msimamisha cz ni mnyonge hatoweza ongea kitu chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…