Elections 2010 Kampeni timu ya chadema

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
Kama ilivyo CHADEMA chama kisikivu tunaomba Timu ya Kampeni ya CHADEMA itupatie anuani za email za kuweza kuwasilisha maoni yetu kama wadau kuhusu mambo ushauri wetu kwa kuwa wakati wa kampeni zikiendelea wahusika wote mnakuwa mko busy hivyo si rahisi kugundua dosari ndogo ndogo zinazohitaji marekebisho
 
YAH PAMOJA NA SIMU, ILi IWE RAISI
 
Back
Top Bottom