Golden felician
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 216
- 36
- Thread starter
-
- #21
Lindi na Mtwara navijua ni vizuri ila kigoma sijafahamu...ukisoma hizo sehemu mbili hutajutaLindi clinical medicine center
Masasi(mtwara) clinical medcne
Kigoma clinical medicine center
Hivi ni vyuo vizuri kweli au sio vizuri??
Daah asante.maana nilikuwa na hofu sana.miundo mbinu yake ni rafiki au sio.I mean hospital za kufanyia field na vifaa ni bora auLindi na Mtwara navijua ni vizuri ila kigoma sijafahamu...ukisoma hizo sehemu mbili hutajuta
Na kipi bora sana kati ya Lindi na mtwara.yan miundombinu yke kama hospital za kufanyia field.vifaa.walimu na mazingira.kipi kina unafuuLindi na Mtwara navijua ni vizuri ila kigoma sijafahamu...ukisoma hizo sehemu mbili hutajuta
Vyote sawa ila cha mtwara kikubwa zaidi pia vyote viko mjiniNa kipi bora sana kati ya Lindi na mtwara.yan miundombinu yke kama hospital za kufanyia field.vifaa.walimu na mazingira.kipi kina unafuu
Kwani umeshaomba ama?Na kipi bora sana kati ya Lindi na mtwara.yan miundombinu yke kama hospital za kufanyia field.vifaa.walimu na mazingira.kipi kina unafuu
Sawa.nataka nijue sababu natoka mbali sana mwanza.na kidogo hali ya uchumi nyumbani so nzur sana.sasa nataka nijue mapema nisije nikashindwa kusoma vizuri kwa kutatua changamoto zingine tofauti na nilichokifuata.ntakuwa napoteza mda na pesaOff coz we nenda kasome
Ukifika concentrate kwenye masomo
NdioKwani umeshaomba ama?
Cha mtwara nmekiona mtandaoni n kikubwa kwel. ila Lindi sijakiona unaweza nitumia picha zakeVyote sawa ila cha mtwara kikubwa zaidi pia vyote viko mjini
Sina mkuu picha but kizuri aminiCha mtwara nmekiona mtandaoni n kikubwa kwel. ila Lindi sijakiona unaweza nitumia picha zake
Upo mwaka wa ngapiKaribu masasi kijana ukifika nicheki.
Yan ndy nmetuma maombi ya kujiunga na ivyo vyuo.short sijaanza kabisaUpo mwaka wa ngapi
Afu sikia mkuu vyuo karibu vyote vya serikali vinalingana usisumbuke sana kwa hiloSawa.nataka nijue sababu natoka mbali sana mwanza.na kidogo hali ya uchumi nyumbani so nzur sana.sasa nataka nijue mapema nisije nikashindwa kusoma vizuri kwa kutatua changamoto zingine tofauti na nilichokifuata.ntakuwa napoteza mda na pesa
Ok %Afu sikia mkuu vyuo karibu vyote vya serikali vinalingana usisumbuke sana kwa hilo
Hospital zao ni kubwa na ndo maana na kwambia ukitoka unakua vizuri ila rheory ujitume sana hawana mzahaDaah asante.maana nilikuwa na hofu sana.miundo mbinu yake ni rafiki au sio.I mean hospital za kufanyia field na vifaa ni bora au
Hiyo sio yako ya huyo hamaaYan ndy nmetuma maombi ya kujiunga na ivyo vyuo.short sijaanza kabisa
Duuh.worry out my broo ntapamban2. ulisomea wap wwHospital zao ni kubwa na ndo maana na kwambia ukitoka unakua vizuri ila rheory ujitume sana hawana mzaha
OK.ulisomea wapi ww.Hiyo sio yako ya huyo hamaa