Jobless Graduate2021
Member
- Aug 15, 2021
- 49
- 45
Kwa course ganiHabari za Asubuhi ndugu Wana JF, ni matumaini yangu mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania. Naomba kufahamishwa ada (Undergraduate fees) za Kampala University Dar Es Salaam kias wanacholipa.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!?
Ndugu zanguni, mnatarajiwa kwenda chuo kikuu, hivyo mnapoandika jaribuni kuwa specific ili mpate jibu sahihi.Habari za Asubuhi ndugu Wana JF, ni matumaini yangu mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania. Naomba kufahamishwa ada (Undergraduate fees) za Kampala University Dar Es Salaam kias wanacholipa.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!?
Mbona kila kitu kipo kwenye site yao mzeeHabari za Asubuhi ndugu Wana JF, ni matumaini yangu mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania. Naomba kufahamishwa ada (Undergraduate fees) za Kampala University Dar Es Salaam kias wanacholipa.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!?
Boss ada za undergraduate kwa koz ya sheria na uandishi wa habariNdugu zanguni, mnatarajiwa kwenda chuo kikuu, hivyo mnapoandika jaribuni kuwa specific ili mpate jibu sahihi.
Kozi ya ualimu malipo yake si sawa na udaktari halikadhalika na kozi nyingine. Kampala ni chuo kikubwa kina kozi zaidi ya 10.
Ahaahh Shukrani kwa kunieleweshaMbona kila kitu kipo kwenye site yao mzee
Asante sanaMkuu unaenda kusoma course gani? Tumia kitabu cha TCU huwa kinaandikwa course na ada yake. Kipidi cha nyuma ilikuwa hivyo sijui mwaka huu kama bado ipo hivyo lakini tafuta hicho kitabu
Kuna rafiki zangu mmoja sheria na mwingine uandishi wa habariMkuu unaenda kusoma course gani? Tumia kitabu cha TCU huwa kinaandikwa course na ada yake. Kipidi cha nyuma ilikuwa hivyo sijui mwaka huu kama bado ipo hivyo lakini tafuta hicho kitabu
Someni vitabu vya tcu kila kitu kipoKuna rafiki zangu mmoja sheria na mwingine uandishi wa habari
Umefanikiwa kupata ada yao ...am down..nawaza 2.1M fee !!!Kuna rafiki zangu mmoja sheria na mwingine uandishi wa habari
Usipokua na ada unafukuzwaAsante sana