Kamoga umekuwa mpambe wa Lowassa?

Kamoga umekuwa mpambe wa Lowassa?

Kitorondo

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
61
Reaction score
33
Kwenye 360 kila habari inayomuhusu Lowassa lazima uipigie debe kwa nguvu lakni habari ya Magufuli hutaki kuisikia tunamsubiri Sam ndiyo yupo fair
 
Hueleweki.

Ila kila ulimi na hata kimoyomoyo lazima ukiri kuwa Rais ni Lowassa.
 
Back
Top Bottom