Kamjua wiki kamuoa inawezana jaman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamjua wiki kamuoa inawezana jaman

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MUREFU, Apr 23, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Habar zenyu wanathnker. Ma2main yangu wate wazma na 2po kwenye mchakato ya maandaliz ya pasaka mungu awatakulie wote na 2sherekee kesho salama. 2kiacha hlo nimekutana maongez kwenye upata maj ya dubai jion ya jana walikuwepo jamaa watatu wanakula nao dubai meza yangu ya pemben na ndo wakawa wanaongea kuhusu jamaa wao mmoja aliye kutana na msichana wiki iliyopita na amemuoa hv sasa kamuweka ndan ndo wao wanasema itakuwa amepewa limbwata mana wanadai wamemshaur lakn jamaa hakusikia je wana JF THINKER hii inawezekana kuowa
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Murefu umeunganisha hayo maneno mengine umefupisha yaani ilimradi namshukuru Mungu nimemaliza kusoma.

  Mhh kumbe nanyie wanaume mpo lakini hamvumi?? we mambo ya watu ya meza ya pili uliyasikiaje?? inamaana ww ulikuwa huna la kufanya zaidi ya kusikiliza??

  Ila hii kali, imenisikitisha alafu pia imenifurahisha, one week then ndoa!!! sijajua ilivyo kaa kaaa lkn hembu tungoje wadau waseme neno.
   
 3. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Aaaaagh munanikera kweli nyinyi munaotumia vifupisho kwani munashindwa nini kuandika kitu kwa ukamilfu wake?
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Susy Susy Susy
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli kweli
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kloe kardashian na Lamar ndani ya week mbili mipango ya ndoa mwezi kamili ndoa na bado wanaishi wanapendana hatari, ila hii ni kama kucheza pata potea vile unaweza kuishia pabaya au ukapata bahati mkaishi kwa upendo na amani.
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  I must admit huyu binti ni mzuri sana wanakimbizana sana na dada yake Kim
   
 8. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ckia wa2 wanakula dubai na kuongea kwa nguvu huku wakiwa wanaongesha wanataka msaada wa ushaur mwsho wa siku nilijumuika nao kimaongez na kidubai zaid mana ukiona m2 anatoa saut ujue anaki2 anataka usikije na hvyo ndivyo ilivyokuwa mama suzy ckuwa na nia ya kusema ninataka nisikie nini au kuwa mbeya hapana ila wenyewe walivyokuwa wanaongea ndo wakanipa picha nzima plz suzy nitake radh bana
   
 9. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kama umeelewa vifupisho tatzo lipo wap huna jipya wewe kumbe upo 2 kujaza nafas
   
 10. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ila gaga kibongo bongo ukimuoa chn ya miez sita tabu mana unajulikana kesho unaachika kama inavyokuwaga kwa wasanii we2 wa muzik na filamu
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Haya tushajua uko Dubai!!Nwy inawezekana sana...zipo ndoa za aina hiyo na zinadumu sana tu na kuna wanaojuana miaka alafu miezi mitatu tu wanashindwana!Chemistry na moyo vyote vikikubali hata siku tatu tu mnaweza kuoana na mambo yakanyooka!
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kumbe uko VIA MOBILE ndio maana kule kwingine sikupati
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  watu watakulaje mji? au dubai ni chakula?

  mi sioni shida wao kuoana hata kama wangefanya hivyo masaa baada ya kukutana.....waende tu ANGAZA then waoane....maisha hayana formula....wangapi wamekaa seven years or more na hawakuoana wala hata kujuana inavyotakiwa.....waachwe na maisha yao...:director:
   
 14. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  teh teh teh navua gamba mkuu!!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Susy si tumeishajuana vya kutosha si tunaweza kuoana sasa???
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nakujua??
   
 17. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  usijali!!

  nakutaka radhi Murefu
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huku skype
   
 19. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  ha ha haaaaaaaaaaaa uwiiiiiii mbavu zangu mie Finest!!!
   
 20. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  okay ckatai ila kitanzania kwel umjue m2 wik na akuoe au uolewe kwel inawezekana hyo au ndo ilakuwa kama wanavyofanya wasanii we2 wa muzik na filamu mana hawa huyu kamchukuwa huyu na huyu kamchukuwa yule mwsho wa cku wanatangaza ndoa hewa kaz kwel kwel ila cjui yan wiki umeoa au kuolewa duh?
   
Loading...