Kamishna Jenerali Magereza: Joseph Mbilinyi katolewa gerezani kwa msamaha wa Rais

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kama.barua inavyoeleza
Watu wameuliza sana kwanini hajamaliza.muda wake,

Kumbe rais mwenye roho ya upendo na Mungu ndani yake kaguswa na kuamuru atolewe mara moja

IMG-20180510-WA0020.jpg
IMG-20180510-WA0019.jpg

Habari zaidi, soma=>News Alert: - Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo
 
SASA AACHE LUGHA ZISIZO NA STAHA KWA KIONGOZI WA NCHI, NA YULE BINTI MATUSI WA KAWE AJIREKEBISHE AKOSOE NA KUPINGA UTAWALA, KWA LUGHA YA STAHA, KINYUME NA HAPO WATAKUWA WANATAFUTA MUHALI NA UTAWALA BILA SABABU YA MSINGI
 
Ameguswa na kuamuru atolewe mara moja....!! Hivi una akili wewe au unatumia matako kifikiri...hebu soma tena hiyo barua afu uje useme rais kaguswa wapi na kifungo cha Sugu. Miccm bwana
Attention Addiction Disorder ndio tatizo!
 
Hii mpya magufuli atawanyoosha mnaotumikia matumbo yenu sio taaluma mlizosomea na kuhenyea hapa ni siasa tu njaa zitawaua

Nampongeza sana sadick meck sadick kwa kukataa kutumikishwa aliamua kijiuzulu kukwepa aibu kama hizi..
Angalia huyu nae...UNAROPOKA TU
 
SASA AACHE LUGHA ZISIZO NA STAHA KWA KIONGOZI WA NCHI, NA YULE BINTI MATUSI WA KAWE AJIREKEBISHE AKOSOE NA KUPINGA UTAWALA, KWA LUGHA YA STAHA, KINYUME NA HAPO WATAKUWA WANATAFUTA MUHALI NA UTAWALA BILA SABABU YA MSINGI
Unajua tusi likoje? Unaweza ukamuamkia mtu na akaona umemvunjia heshima, Afrika tusi ni neno lolote ambalo adui yako halitaki, na kama yuko madarakani ole wako.
 
SASA AACHE LUGHA ZISIZO NA STAHA KWA KIONGOZI WA NCHI, NA YULE BINTI MATUSI WA KAWE AJIREKEBISHE AKOSOE NA KUPINGA UTAWALA, KWA LUGHA YA STAHA, KINYUME NA HAPO WATAKUWA WANATAFUTA MUHALI NA UTAWALA BILA SABABU YA MSINGI

Anayetumia lugha ya staha ni yupi?
Au ndio swaga za mkubwa hajambi??
Zilipendwa hizo.
Nakuambia hivi " atakayetoa mkopo kwa aliyesoma shule ya private atakuwa kuchaa"
Hiyo staha unaionaje? Imetulia ?. Enjoy.
 
1. Barua haina muhuri.
2. Aya ya kwanza inataja mfungwa namba 219, aya ya pili inataka mfungwa huyo huyo kuwa ni namba 2019.

Hizi siasa za kutaka umaarufu sijui kama ipo siku na sisi tutashiriki hata kombe la dunia. Watu wanajenga mahekalu ya kuhifadhi taarifa za watumiaji wa mitandao kama facebook, google, Apple sisi bado tunasumbuka na mafuta ya kula ya alizeti na pamba.

Endeleeni ya viwanda vyenu vy a vyerehani.
 
Back
Top Bottom