Kamilius huko wapi utuokoe tunakufa na njaa

Kamilius huko wapi utuokoe tunakufa na njaa

Mzuqa

Kachero mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu uliyetukuka, Bernard mwana wa Membe, huko wapi watu tuna kufa kwa njaa.???

Unavyozidi kuwa kimya wengi wanapoteza maisha kwa njaa. Baba yetu Kamilius tusaidie aisee. Wee tamka tu.

Ukitaamka tu nataka kuwa Rais yani kutamka tu shilingi itapanda thamani. Bei ya vitu itashuka watumishi watafurahi watanzania watapata nafuu.

Kamilius baba jitokeze maamae tunakufa na njaa baba. Kamilius tusaidie. Kamilius napaza sauti yangu yote tusaidie tunakufa na njaa.

Membeeeeee Mwanadiplomasia wa aina yake!

Meeembeee Kachero mbobezi tusaidie baba tunakufa na njaaa.

Kamiliuuuuuuusssssss!
Wewe umechanganyikiwa kabisa, hakuna kitu cha bure duniani.
 
Yule jamaa wa ubelgiji naye akitamka anautaka urais shilingi itapanda ? au hii ni kwa huyu aliyeko ndani ya chama kimoja? kwa hiyo wa chama kimoja wanatishiana nyau na kuogopana wenyewe kwa wenyewe!
Hivi tarehe ya kurudi bado..?
 
Sikubaliani na wewe hapana maoni yake yana mantiki sema uwasilishaji wake umejaa midhaha na masihara!.Soma ZAB.1:1-2,Heri mtu yule asiyekwenda shauri la wasio haki............................................!
 
I am sorry for disappointing you. Nipo. 2020 kazi na bata
 
Yule jamaa wa ubelgiji naye akitamka anautaka urais shilingi itapanda ? au hii ni kwa huyu aliyeko ndani ya chama kimoja? kwa hiyo wa chama kimoja wanatishiana nyau na kuogopana wenyewe kwa wenyewe!
Yule mliyempiga risasi??
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Huyo Maembe Chameleon aka Kachelo mbobezi, mfundisheni kuandaa ‘slogan’ zenye ushawishi sio zile ‘Twende na Maembe’..... afadhali kidogo hii Kazi na Bata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom