Kamilius huko wapi utuokoe tunakufa na njaa

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,170
Reaction score
20,202
Mzuqa

Kachero mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu uliyetukuka, Bernard mwana wa Membe, huko wapi watu tuna kufa kwa njaa.???

Unavyozidi kuwa kimya wengi wanapoteza maisha kwa njaa. Baba yetu Kamilius tusaidie aisee. Wee tamka tu.

Ukitaamka tu nataka kuwa Rais yani kutamka tu shilingi itapanda thamani. Bei ya vitu itashuka watumishi watafurahi watanzania watapata nafuu.

Kamilius baba jitokeze maamae tunakufa na njaa baba. Kamilius tusaidie. Kamilius napaza sauti yangu yote tusaidie tunakufa na njaa.

Membeeeeee Mwanadiplomasia wa aina yake!

Meeembeee Kachero mbobezi tusaidie baba tunakufa na njaaa.

Kamiliuuuuuuusssssss!
 
Vijana mnaharaka sana,,,mambo yanaenda kwa mipango,,vuta subira kijana
 
Yule jamaa wa ubelgiji naye akitamka anautaka urais shilingi itapanda ? au hii ni kwa huyu aliyeko ndani ya chama kimoja? kwa hiyo wa chama kimoja wanatishiana nyau na kuogopana wenyewe kwa wenyewe!
 
Fanya kazi utumwani we myebusi, ushakimbia tuachie inji yetu..... Kazi na Bata.
 
Mzuqa

Kachero mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu uliyetukuka, Bernard mwana wa Membe, huko wapi watu tuna kufa kwa njaa.???

Unavyozidi kuwa kimya wengi wanapoteza maisha kwa njaa. Baba yetu Kamilius tusaidie aisee. Wee tamka tu.

Ukitaamka tu nataka kuwa Rais yani kutamka tu shilingi itapanda thamani. Bei ya vitu itashuka watumishi watafurahi watanzania watapata nafuu.

Kamilius baba jitokeze maamae tunakufa na njaa baba. Kamilius tusaidie. Kamilius napaza sauti yangu yote tusaidie tunakufa na njaa.

Membeeeeee Mwanadiplomasia wa aina yake!

Meeembeee Kachero mbobezi tusaidie baba tunakufa na njaaa.

Kamiliuuuuuuusssssss!
Uwe mpole,kilakitu kinaenda
 
#Magufuliforlife #longlivemagufuli
 
Nadhani ukijifunza kuandika kwa ufasaha anaweza kuelewa ulichoandika. ''huko wapi....?''. Are you kidding?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom