Kamilius huko wapi utuokoe tunakufa na njaa

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,170
Reaction score
20,202
Mzuqa

Kachero mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu uliyetukuka, Bernard mwana wa Membe, huko wapi watu tuna kufa kwa njaa.???

Unavyozidi kuwa kimya wengi wanapoteza maisha kwa njaa. Baba yetu Kamilius tusaidie aisee. Wee tamka tu.

Ukitaamka tu nataka kuwa Rais yani kutamka tu shilingi itapanda thamani. Bei ya vitu itashuka watumishi watafurahi watanzania watapata nafuu.

Kamilius baba jitokeze maamae tunakufa na njaa baba. Kamilius tusaidie. Kamilius napaza sauti yangu yote tusaidie tunakufa na njaa.

Membeeeeee Mwanadiplomasia wa aina yake!

Meeembeee Kachero mbobezi tusaidie baba tunakufa na njaaa.

Kamiliuuuuuuusssssss!
 
Tupo Salama
Tembeeni Kifua Mbele Tupo Kwenye Light Track
 
BM ni mpiga deal kama wengine. Na safari hii akileta tena fyoko fyoko tunamnyamazisha moja kwa moja.
 
wewe mfarisayo fanya kazi,,,acha maneno
Utafanya kazi na pesa haipatikani wee vp mtaani biashara zimesizii kabisa hela haionekani sasa unafanyeje kazi wakati pesa haionekani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom