Kamikaze drones zahatarisha jeshi la Ukraine

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,126
Reaction score
24,421
KAMIKAZE DRONES ZAHATARISHA JESHI LA UKRAINE.

Drones za Iran ambazo ziliipa russia zinahatarisha maisha ya wanajeshi wa Ukraine. Drones hizo ni hatari katika mashambulizi. Ni mara ya kwanza kutumika drones kutoka nchi nyingine hasa Iran, makamanda wa jeshi la Ukraine wasema.

Drones za Iran zilizopakwa rangi ya russia, zilianza kutumika wiki iliyopita kaskazini-mashariki mwaka mkoa wa Kharkiv

Drones za Iran zinaenda kwa kasi huwa zinashambulia eneo husika bila kukosea alisikika akisema kamanda wa kikosi cha mizinga cha Ukraine Kanali Kilion Kulagin.
 
Hizo Himars mbili,tatu zilizobakia zikae kwa adabu.
JamiiForums-53081602.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMIKAZE DRONES ZAHATARISHA JESHI LA UKRAINE.

Drones za Iran ambazo ziliipa russia zinahatarisha maisha ya wanajeshi wa Ukraine. Drones hizo ni hatari katika mashambulizi. Ni mara ya kwanza kutumika drones kutoka nchi nyingine hasa Iran, makamanda wa jeshi la Ukraine wasema.

Drones za Iran zilizopakwa rangi ya russia, zilianza kutumika wiki iliyopita kaskazini-mashariki mwaka mkoa wa Kharkiv

Drones za Iran zinaenda kwa kasi huwa zinashambulia eneo husika bila kukosea alisikika akisema kamanda wa kikosi cha mizinga cha Ukraine Kanali Kilion Kulagin.
Kama ni Kimsboy ni uwongo. Yeye habari zake za kuwapa nguvu waarabu wavaaa makobazi
 
KAMIKAZE DRONES ZAHATARISHA JESHI LA UKRAINE.

Drones za Iran ambazo ziliipa russia zinahatarisha maisha ya wanajeshi wa Ukraine. Drones hizo ni hatari katika mashambulizi. Ni mara ya kwanza kutumika drones kutoka nchi nyingine hasa Iran, makamanda wa jeshi la Ukraine wasema.

Drones za Iran zilizopakwa rangi ya russia, zilianza kutumika wiki iliyopita kaskazini-mashariki mwaka mkoa wa Kharkiv

Drones za Iran zinaenda kwa kasi huwa zinashambulia eneo husika bila kukosea alisikika akisema kamanda wa kikosi cha mizinga cha Ukraine Kanali Kilion Kulagin.
Hizo ambazo zinadondokaga zenyewe
 
Hiv kamikaze ni za us au iran
Unajua maana ya kamikaze? Ukishasikia kamikazes ni aina ya drone ambazo Huwa hazina makombora zenyewe ndio zinalenga target zinaenda kujibamiza muundo wake ndani imejazwa milipuko mfano wa kombora Huwa inatumika mara moja tu ikirushwa ndio hairudi na kamikaze ni neno la kijapan linamaana km kujitoa mhanga ,so ukisikia kamikaze usifikiri ni silaha ya USA inatambulisha drones ambazo zimeundwa Kwa ajili ya kujilipua zenyewe kwenye target
 
KAMIKAZE DRONES ZAHATARISHA JESHI LA UKRAINE.

Drones za Iran ambazo ziliipa russia zinahatarisha maisha ya wanajeshi wa Ukraine. Drones hizo ni hatari katika mashambulizi. Ni mara ya kwanza kutumika drones kutoka nchi nyingine hasa Iran, makamanda wa jeshi la Ukraine wasema.

Drones za Iran zilizopakwa rangi ya russia, zilianza kutumika wiki iliyopita kaskazini-mashariki mwaka mkoa wa Kharkiv

Drones za Iran zinaenda kwa kasi huwa zinashambulia eneo husika bila kukosea alisikika akisema kamanda wa kikosi cha mizinga cha Ukraine Kanali Kilion Kulagin.
Haya ni ya Kwako mwenyewe, huna hata source ya taarifa Yako Mpwa, hata picha ya ku-download
 
Unajua maana ya kamikaze? Ukishasikia kamikazes ni aina ya drone ambazo Huwa hazina makombora zenyewe ndio zinalenga target zinaenda kujibamiza muundo wake ndani imejazwa milipuko mfano wa kombora Huwa inatumika mara moja tu ikirushwa ndio hairudi na kamikaze ni neno la kijapan linamaana km kujitoa mhanga ,so ukisikia kamikaze usifikiri ni silaha ya USA inatambulisha drones ambazo zimeundwa Kwa ajili ya kujilipua zenyewe kwenye target
Jina tu ustaadh
 
KAMIKAZE DRONES ZAHATARISHA JESHI LA UKRAINE.

Drones za Iran ambazo ziliipa russia zinahatarisha maisha ya wanajeshi wa Ukraine. Drones hizo ni hatari katika mashambulizi. Ni mara ya kwanza kutumika drones kutoka nchi nyingine hasa Iran, makamanda wa jeshi la Ukraine wasema.

Drones za Iran zilizopakwa rangi ya russia, zilianza kutumika wiki iliyopita kaskazini-mashariki mwaka mkoa wa Kharkiv

Drones za Iran zinaenda kwa kasi huwa zinashambulia eneo husika bila kukosea alisikika akisema kamanda wa kikosi cha mizinga cha Ukraine Kanali Kilion Kulagin.
Hapo ndio Israel anaenda kumaliza kazi. Usie mpenda kaja. Yani hiso drom Israel anazituuta hatari kwahiyo keep cool utashangaa hizo dron zitaanguka kama mvua
 
Back
Top Bottom