kaisilitangalila
Member
- Jul 1, 2015
- 41
- 14
katika hzo ulizozitaja za kuanza nazo ipi ni nzuri kuliko zotePicture nikon huwa wanatexture poa sana
Video nenda kwa canon, hao ni best kwenye idara hiyo..
Sijapata kutumia sony...
Kwenye ishu ya bei hiyo eos 7d andaa 3+ m na 2+ m for d750
Ila kama unataka kuanza hiyo ishu bora uanze na za kawaida kama nikon d3200 au 3300, 5200,5300 au canon eos 5d iko poa sana au kama hela iko poa chukua nikon d7200
lens gan zinakua inatoa picha nzuri ??Mkuu uzuri wa kamera ni Lens.. Lens ndio kamera! Husitafute kamera nzuri tafuta Lens nzuri!! Kamera chagua yoyote kulingana na budget yako.. Ila kwenye Lens ndio ukaze upate Lens za maana!
Kama unataka nzuri utarud kwenye hizo ulizoweka wewekatika hzo ulizozitaja za kuanza nazo ipi ni nzuri kuliko zote
poa kakaKama unataka nzuri utarud kwenye hizo ulizoweka wewe
Mfano nikon d850, d750 hizo ni best
Canon eod 7d iko safi sana
.....
Ila kwa mtu ambae hajawah zitumia kabisa hizi proffessional camera ni vyema ungeanza na mfano nikon d3200 iko simple bei rahis na vile function zake si nyingi ila ina picha angavu kinachobaki wewe ni kununua lens tatu au nne tafauti kwani camera hamna kitu muhimu kama lens so unapokuwa na lens tofauti unafanya camera hiyo moja kuweza kutumika kwenye occasion nyingi zaid..
Ila kama mfukoni una 1.7-2m nenda kanunue nikon d7200 utakuja kunipa mjumuisho mwakani ubora wake..
Manifester nlishamuona na nikon d7100 japo ana camera nyingi lakin kaangalie picha zake..
Hope cuz unataka kuingia kwenye industry hii lazima utakuwa ushawajua hata kampuni kubwa bongo ya ogs, mara nyingi sana wanatumia nikon d7100 ila mm nakupa opt ya d7200..
Karibu kwenye industry hope na wadau wengne watakupa mawazo yao lakin karibu kwenye industry hii inayohitaj creativity kubwa sana sinve technology inaongezeka na watu wanahisi akiwa na simu yenye mp 16 inamtosha kupiga picha so inabid sisi tudig kwenye documentary ambazo tv zetu haizinunui na bado tv zao zinarudia vipindi kila kukicha..
Njoo tumake mabadiliko kwenye industry, usiishie kuulizia karibu
NIMEIKUBALI SANA D3200 NI NZURI NA BEI HAIZID MILLION NDO SAWAKama unataka nzuri utarud kwenye hizo ulizoweka wewe

Sikweli ubora wa picha ni kamera na siyo lens, lens ni kuhainisha unachotaka kupiga ila the quarity of picture ni camera kutokana na kitu kinaitwa Pixel'sMkuu uzuri wa kamera ni Lens.. Lens ndio kamera! Husitafute kamera nzuri tafuta Lens nzuri!! Kamera chagua yoyote kulingana na budget yako.. Ila kwenye Lens ndio ukaze upate Lens za maana!
Dah mkuu somo la lens ni refu sana.. kwakuanzia tafuta lens yenye EF 18-55MM. (Zoom lens)lens gan zinakua inatoa picha nzuri ??
Sikweli ubora wa picha ni kamera na siyo lens, lens ni kuhainisha unachotaka kupiga ila the quarity of picture ni camera kutokana na kitu kinaitwa Pixel's
Ila kwa utalaam wangu kidogo wa haya makamera...nadhani lazima uwe na camera nzuri (obvious lens yake itakuwa nzuri)extra lenses haina maana kama camera yenyewe si nzuri sana..kabla ya extra lenses lazima uwe na camera nzuri na yenye nguvu nzuri.na inategemea sana unataka kuitumia kwa nini (video au picture za kawaida)Naona mkuu hapa tutaanza ubishi wa kuku na yai nani wa kwanza! Good glasses Good glasses first. Hiyo senser ya camera inategemea zaidi glasses za lens. ukiwa na poor glasses pixel zako hazito kusaidia kitu!
hii sio kweli, kitu muhimu zaidi kwenye camera ni sensor, ingekuwa ni lens tu kwanini camera zinauzwa bei tofauti? si zingeuzwa bei moja tu halafu lens ndio zikawa zinauzwa bei tofauti?Mkuu uzuri wa kamera ni Lens.. Lens ndio kamera! Husitafute kamera nzuri tafuta Lens nzuri!! Kamera chagua yoyote kulingana na budget yako.. Ila kwenye Lens ndio ukaze upate Lens za maana!
kila kampuni ina camera zake nzuri, kuangalia tu brand hakutakusaidia, na pia inategemea unataka kuifanyia nini, kwenye budget ndogo lazma kuwe na sacrifice huwezi pata camera ya chini ya milioni itoe video za 4K, ipige picha vizuri, etcHabari zenu wadau
Hv kamera gan ni nzur kati ya cannon na sony
na zinatakiwa ziwe na D ngap ?
Na bei zake zinasimamaje ?? View attachment 528604View attachment 528605View attachment 528606