Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Kama tutafanikiwa kuwa na uchaguzi huru na wahaki mwaka 2015, basi kambi ya upinzani bungeni itaongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na vyama vingine kama
NCCR
CUF
TLP
n.k
Mawaziri wa serikali ya Chadema watatakiwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa maana upinzani utakuwa mkali sana. Pia sidhani kama kutakuwa na wasaliti wengi maana hapatakuwa na sababu ya mtu kusaliti.