S Salehe Ndanda Member Joined Jun 15, 2009 Posts 41 Reaction score 3 Aug 14, 2009 #1 Wakuu naomba mnifahamishe kambale anatokana na nini? mimi najua kumla tu lakini sijui anatokana na nini? najua anaishi maji baridi,najua NDIMBWI LA MAJI WIKI MBILI KAMBALE YUPO, ANAZALIWA NACHURA AU TOPE. HAELEWEKI SAMAKI HUYU.
Wakuu naomba mnifahamishe kambale anatokana na nini? mimi najua kumla tu lakini sijui anatokana na nini? najua anaishi maji baridi,najua NDIMBWI LA MAJI WIKI MBILI KAMBALE YUPO, ANAZALIWA NACHURA AU TOPE. HAELEWEKI SAMAKI HUYU.
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,069 Aug 14, 2009 #2 ingia WIKIPEDIA alaafu tafuta CATFISH