Kambale anatokana na nini?

Salehe Ndanda

Member
Jun 15, 2009
41
3
Wakuu naomba mnifahamishe kambale anatokana na nini? mimi najua kumla tu lakini sijui anatokana na nini? najua anaishi maji baridi,najua NDIMBWI LA MAJI WIKI MBILI KAMBALE YUPO, ANAZALIWA NACHURA AU TOPE. HAELEWEKI SAMAKI HUYU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom