Sisi hakuna haja ya sample kwa kuwa tunanunua rangi yoyote, cha msingi wawe hai na wakubwa kuanzia gram 500 kuendelea.
Ila ukipenda lete "sample" za Kutosha, tutazinunua kama mzigo kamili.
Tumeshaanza kupokea mzigo na malipo ni pesa taslimu siku hiyo hiyo.