mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Yanakalia tu ze poshoSio kamati tuu nimeanza ku question maamuzi ya bunge ..... Richmond kiwira na maremeta yamezikwa kimya kimya... jairo ndo kimyaaa.... ah inachosha.
Kwa kweli ni hoja! Naomba niwaulize Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Ikiwa kazi yenu kubwa ni kuisimamia Serikali kama mnavyofanya kupitia kamati zenu za Bunge na Kamati maalumu za Bunge, Lakini mnapotoa maelekezo kwa Serikali, haitekeleze, Je wajibu wenu ni nini?
1. Je mtakuwa kama mbwa anayebweka tu na kumwacha mwizi anaiba na kuifilisi Nyumba? Je mtaendelea kupiga makelele tu kupitia hizo kamati zenu?
2. Ikiwa kama Serikali itakomaa na kila siku inakuja na kuwajibu mambo yenu yanashughurikiwa, mtaendelea kupiga kelele tu?
3. Wananchi tukitoa hoja ya kuwa, Bunge mmeshindwa kazi yenu hivyo hamna budi kujiuzuru mtasemaje?
Ukweli kama mtoa mada alivyosema, mnachefua. Kwanini msipige kura ya kutokuwa na imani na Serikali mkianza na Waziri Mkuu?? Hiyo ndiyo hatua inayotakiwa mfikie, lakini mnaendelea kubweka tu kama Mbwa ambaye anamwacha mwizi anachukua vitu yeye anabweka tu. Shame on you. Tupeni jibu hapa Jamvini.
Umenena mkuu lakini wanaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na serekali hawa?
Wana JF kila siku tuanaskia madudu,ubadhilifua,Uzembe,Rushwa na Ufujaji wa Mali za Uma na kupotea uadilifu kwa Viongozi ambao unai buliwa na KAMATI za Kudumu Za Bunge,
Sasa ni Kipi kinachokataza watu hawa kuchuuliwa Hatua? Kwa Niaba ya Wagosi wenzangu Hapa Tanga sasa tumechoshwa na kuskia UOZO usiochukuliwa hatua kwa kuirekibisha au Kuwachukulia Hatua wahusika(MNATUCHEFUA)
Jamani sasa Basi tumechoka na vikao vyenu visivyo na Hatua za utendaji zaidi ya kutupasha tu Habari,kazi hiyo iacheni Magazeti..
Hata Maamuzi yenu Bungeni sasa hayana Mashiko na ndo Maana Uchaguzi uliopita watu wengi hawakujitokeza kupiga Kura...

hajui kuwa kamati ni sehemu ya wabunge kupigia posho?
Kwa kweli ni hoja! Naomba niwaulize Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Ikiwa kazi yenu kubwa ni kuisimamia Serikali kama mnavyofanya kupitia kamati zenu za Bunge na Kamati maalumu za Bunge, Lakini mnapotoa maelekezo kwa Serikali, haitekeleze, Je wajibu wenu ni nini?
1. Je mtakuwa kama mbwa anayebweka tu na kumwacha mwizi anaiba na kuifilisi Nyumba? Je mtaendelea kupiga makelele tu kupitia hizo kamati zenu?
2. Ikiwa kama Serikali itakomaa na kila siku inakuja na kuwajibu mambo yenu yanashughurikiwa, mtaendelea kupiga kelele tu?
3. Wananchi tukitoa hoja ya kuwa, Bunge mmeshindwa kazi yenu hivyo hamna budi kujiuzuru mtasemaje?
Ukweli kama mtoa mada alivyosema, mnachefua. Kwanini msipige kura ya kutokuwa na imani na Serikali mkianza na Waziri Mkuu?? Hiyo ndiyo hatua inayotakiwa mfikie, lakini mnaendelea kubweka tu kama Mbwa ambaye anamwacha mwizi anachukua vitu yeye anabweka tu. Shame on you. Tupeni jibu hapa Jamvini.
Bunge makini lenye wabunge makini huwa linaangalia hoja badala ya ushabiki wa kichama. Hili letu limekaa kivyama zaidi badala ya hoja za msingi za kitaifa . Kwangu mimi hili si bunge makini. Bunge gani makini mwishoni mwa mwaka jana limepitisha muswada kwa mbwembwe na kejeli lakini baada ya miezi miwili sheria inarudi kwa mabadiliko na Bunge hilohilo linapitisha tena. Huwa hawaoni hoja bali ushabiki ambao ni maumivu kwa commonmwananchi.one third ya wabunge wote ingekuwa ni upinzani serikali ingeliogopa bunge. bunge la sasa wapinzani hata one third hawajafika thats wy serikali haitekelezi maamuzi ya bunge yaloelekezwa kwao na bunge. in short magamba ni mengi bungeni ndo maana serikali inadharau maamuzi ya bunge.