Hii ni kweli kabisa Mkuu. Kagasheki alijihuzuru kwa heshima na taadhima ingawa binafsi hakuhusika.Kwani haya Majizi yalijiapiza kuwa watawala daima? Kama ni sherehe na zawadi watapewa na kupokelewa kwa shangwe kama picha alizoweka Mpwa wangu Chakaza
Natamani hili sakata lijulikane na watu wote ili mwenye 'akili' afanye maamuzi mazuri mwakani. Hatuwezi kuwa na viongozi wachafu kiasi hiki.
Natamani hili sakata lijulikane na watu wote ili mwenye 'akili' afanye maamuzi mazuri mwakani. Hatuwezi kuwa na viongozi wachafu kiasi hiki.
Hayo ni mawazo ya akili.ndogo. Muhongo haondoki.
naomba formulation nzuri tafadhari
Yahaa Kweli Kwa Jana alionyesha Hisia za Ndani sana, LAKINI ili wamludishe Mwana mpotevu kundini ITABIDI TOBA KUBWA SANA.....TENA KWA IMAM NA WAZEE WA CDM.
Kwa hisia ya Jana kweli ni Mwanampotevu....bila CDM hakuna Zitto ...ila bila Zitto kuna CDM.
CDM Mpeni nafasi ila kwa viapo kwa IMAM akiwa na msahafu mbele ya wazee wa CDM...japo amuenzi Mama yake ambae inasemekana ndie aliyemwingiza Zitto CDM.
Ila KIAPO NA TOBA ni muhimu ili asije fanya dhambi kwa chama chake...