Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 974
- 2,366
Alichofanya RC ni matumizi mabaya ya madaraka, tunasubiri ripoti ya tume ifike kwetu'- Serukamba Mwenyekiti Kamati ya Bunge Huduma za Jamii
Kamati ya bungu inaigiaje hapa au ndo kiherehereNape haripoti kwa kamati za Bunge, ni either aiweke hadharani ripoti nzima au aipeleke kwa Magu tena.
BTW, sioni kama hiyo kamati itafanikiwa kumuhoji Makonda ndani ya masaa 24, Magu apewe muda amalizane na kijana wake vinginevyo ataleta sintofahamu isiyo na lazima.
Hakuna lolote mkuu just relaxBashite asidhani hii movie imefika mwisho, bunge la bajeti litakuwa gumu sana na hii imeweka reheni nafasi ya Waziri Mkuu.
###muda utasema###
Sio mkoa wa DSM ... hii ni kwa nchi nzima DSM ni kama sample tu ya kinachoendelea ... kumbuka DSM ndio mlango wa wambele wa kuingilia sebuleni mwa Tanzania ...Kwa Yakini mkoa wa Dar unapita katika kipindi kigumu sana,,,sijui kama ishawai tokea
Mkuu tatizo la ccm wengi wanafuata boss kasema nini(unafiki),hivyo wanamkosesha raha,kaona bora akae kushoto kuondoa usumbufu.Mwenye kiti imara angesimamia uamuzi wake siyo kujiuzuru maana Magu sio aliyemchagua.
Tatizo majaji wanateuliwa na RaisSakata la Bashite leo limefika kikomo kwa Mkuu wa nchi kutangaza kuwa hatomtumbua. Tunaamini hiyo ndiyo mamlaka sahihi ya uteuzi na utumbuaji. Kwa kuwa imegoma kumtumbua Bashite tuomba mihimili mingine itusaidie.
Tumeona Migogoro ya uongozi wa Trump ikizimwa na mahakama huko Marekani. Nasi tunaamini bado mahakama inaweza kutusaidia. Tumesikia kuna watu wana nia ya kufile case. Tunawaomba wafanye hima na mahakama ifanye hima kumtia hatiani huyu mtu ili awe Mkuu wa mkoa akititokea gerezani make hatumbuliki. Ni bora kuwa na Mkuu wa mkoa mfungwa kuliko ilivo sasa.
Mhimili wa bunge nao tunauomba msaada wenu. Wabunge wa ccm tu naomba mlitazame hili kwa sura ya utaifa. Unganeni na ndugu zenu wa upizani azimieni kumuondoa bashite ili hata kama Mkuu wa nchi akimung'ang'ania historia iandikwe.
Naamini hamtatuangusha sisi wananchi wenu.
Nawatakia kazi njema wote