Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Habari za hivi punde kutoka ITV zinaeleza kuwa msafara wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu imepata ajali huko katika Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya kutokana na basi la abiria aina Costa kugongana uso kwa uso na moja ya magari yaliyokuwepo katika msafara huo.
Majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Rungwe na hakuna aliyekufa, Pia chanzo cha ajali kinadaiwa kuwa ni kona kali zillizopo katika maeneo ya Wilaya hiyo.
Chanzo: ITV
Majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Rungwe na hakuna aliyekufa, Pia chanzo cha ajali kinadaiwa kuwa ni kona kali zillizopo katika maeneo ya Wilaya hiyo.
Chanzo: ITV