Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
[HASHTAG]#BarazaKuuChadema2017[/HASHTAG].
hahaha! Lowassa hakamatikiLowasa ana cheo gani Chadema mbona anaketi meza kuu?
Mfadhili wa chamaLowasa ana cheo gani Chadema mbona anaketi meza kuu?
Duh! nimecheka balaaa!Hata ningekuwa mwanachadema roho ingenisuta kutegemea mageuz au maendeleo ya nchi kwa hao watu.
Uongo utakusaidia nini ?chama kilichopoteza dira
Hiyo avatar yako , una roho ngumu sana !Namuona the Don hapo pembeni
dira ya chama chenu ni ipi?Uongo utakusaidia nini ?