Duh! Sio kujadili baraza jipya, ni kuhusu wale mawaziri wanaotuhumiwa kwa kwa ubadhirifu pamoja na upepo wa chama ulivyo sasa. Hapo kwenye kujadili baraza jipya unapotosha uma.
JK ni rais dhaifu sana....
JK ni rais dhaifu sana....
Wanajadili nini wakati mambo yote yako wazi?
Endelea kufuatilia then utujulishe!Updates; waandishi watafahamishwa leo lkn press cofference ni kesho mchana. Kama kuna mwandishi humu atupe taarifa kama mwaliko umeshatoka.