Kamati Kuu ya CCM yakutana leo Ikulu kwa dharura!

Status
Not open for further replies.

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source Mtanzania

Mawaziri tumbo joto ni ile kauli ya baada ya muungano atavunja baraza la mawaziri.

My take.

Kama ni Mukama ndo kaitisha basi hawana uwezo wa kutengua mawaziri ila watakuwa wameoma kimbunga waridhani ni upepo na niwazi kuwa chama kinakufa wanakinuauruje na magamba papa ya ufisadi na wizi?
 
Kinafanyika IKulu. Inaonekana leo ni vikao vya CC; CDM nao CC yao inakutana.
 
yaani watafanyiwa public vetting tukaona kwenye TV kama walivyofanya Kenya na USA au watapitishana behind closed doors?
 
Duh! Sio kujadili baraza jipya, ni kuhusu wale mawaziri wanaotuhumiwa kwa kwa ubadhirifu pamoja na upepo wa chama ulivyo sasa. Hapo kwenye kujadili baraza jipya unapotosha uma.
 
JK alitakiwa alipokwenda Malawi angetoa order akite kila mmoja wao washapeleka resignations zao
 
Duh! Sio kujadili baraza jipya, ni kuhusu wale mawaziri wanaotuhumiwa kwa kwa ubadhirifu pamoja na upepo wa chama ulivyo sasa. Hapo kwenye kujadili baraza jipya unapotosha uma.


Unatupotosha kuwa cc ya magamba ndio inayoteua baraza la mawaziri!! CC ya magamba inaweza kupendekeza na kutoa ushauri kuhusu baraza la mawaziri pale unapohitajika lakini ni ushauri tu ambao sio lazima ufuatwe.
 
JK ni rais dhaifu sana....

Binadamu yeyote yule akiwa mnafiki lazima atakuwa dhaifu lakini yule ambae ni mkweli hapana shaka atakuwa jasiri!!Unatakiwa kuwa jasiri ili uwe mkweli kwani ukweli unauma!!
 
Wanajamvi chanzo changu cha kuaminika kutoka ikulu kinaniambia tayari msemaji wa ikulu ameagizwa asubuhi hii awaalike waandishi wa habari ikulu jijini Dar es Salaam.

Nafuatilia kwa makini ili nijue kama tayari anayewaita ni katibu mkuu kiongozi au ni JK mwenyewe. Kuna tetesi kuwa kitakachozungumziwa ni kuhusu Muungano au ni Baraza la mawaziri.

Endelea kufuata uzi huu kupata update.
 
Updates; waandishi watafahamishwa leo lkn press cofference ni kesho mchana. Kama kuna mwandishi humu atupe taarifa kama mwaliko umeshatoka.
 
wale G8 sasa ivi tumbo joto , nadhani ule upopo umegeuka gharika
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom