Kamati kuu CHADEMA angalieni huu ushauri kama utawafaa muuchukue,kama haufai basi muuache!BAADA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA:
1. Zungukeni maeneo yote mliopaswa na mlikosimamisha wagombea, fanyeni utafiti wa kina mgundue mmeshinda aummeshindwa kwakiwango gani. Hiiitawasaidia kujua ni wapi mmeteleza na ni wapi pakujipanga kwakuongeza nguvu.Kwa walewagombeawalioenguliwamtajua kama wanahaki ya kukatiwarufaa au la na kamawanayo mfanyehivyo.
2. Toeni shukrani zadhati kwawananchi natumieni nafasi hiyokuwapa sera zakukazia maamuziyao waliochukua ili waonehawajakosea,nawalichofanya nisahihi hivyowakidumishe.
3. Toeni semina yauongozi nakiutendaji kwawale wotewalioshinda katikanafasi mbalimbaliili waweze kufiti nakudeliver vizurihuduma kwawananchiwaliowaamini nakuwachagua.Nasema hvi kwasababu kunasehemuwamesimamawagombea waCHADEMA nawameshinda lakinihawana skills zakiuongozi. Kufanyahivyokutawaongezeaufanisi nakuwafanyawakiwakilishechama vizuri.
4. Wekeni mikakati ya mwaka kesho hasakwa yale maeneoambayo mlipatakurakidogo auhamkushinda auhamkusimamishawagombea mpatewagombea wenyesifa kwa maeneoyote kwa ngazi zaudiwani na ubunge.
NAWASILISHA!