Kamata kamata ya Polisi mitaa ya Segerea

sasa nimeanza kuamini kuwa mkapa alikuwa sahihi kuwaita baadhi ya watu WAPUMBAVU. unasema ni tetesi halafu unaanza kuporomosha lawama na habari yako ya kiudaku. namimi nakuita wewe ni mpumbavu.

 

Sasa huyo Lowasa ndio juzi kapita tandare kwa mtogole na kwingineko , tokea kipindi kile cha uhai wake alikuwa alikuwa hajafika huko. Pili la kushangaza zaidi eti anapanda daladala na kuzurura eti anaangalia kero za wananchi ameambiwa kero za wananchi ziko kwenye daladala?
 
sasa kitu ni tetesi, ya nn kulaum wkt hujathibitisha kama ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…