Sisiem,kama mngejua ndio mnzidi kuharibu mambo mngekaa chini upya mshauriane nini cha kufanya.
Mnawatumia polisi,ila mjue utafika wakati hao polisi watatumwa kuwakamata nyinyi.
CCM wamepaniki ndiyo maana wako hivyo!
Sisi wananchi tusio na vyama tunawashangaa!
unajua mahakimu na majaji wangekuwa kama wewe nadhani watu wooooote wangekuwa gerezani.hata kama ushabiki wa kisiasa unakusumbua ni bora angalau utumie akili yako ya akiba kufikiri kabla hujaandika.wewe umesikia tu,sasa kwa nini uifanye taarifa yako kama ni kweli? Hearsay never be used as evidence but only in a specific time when one may say i heared him talking or saying this and this.hivo tulia,wote twajua dar ujambazi upo mwingi,mbwa mwitu cjui noah nyeusi nk.so ukitaka watu wakuamini kqa taarifa zako ni vema uweke na source yake pia let people decide whether your news is a true story or not.tujiepushe na taarifa za upotoshaji hasa wakati huu tete hata kama baadhi mnalipwa kwa propoganda but let our country remain united and let the tanzania police force do its job.God bless TANZANIAkuna tetesi kuwa polisi wanapita mitaani wakikuta watu wanajadili siasa wanawakamata et wanatishia usalama wa nchi!!!!
Hivi ni kwel nchi hiii tumefikia huko????
Tumefikia hatua ya kuwanyima raia kuelimishana wao kwa wao????
Kuwanyima raia uhuru wa kuongea na kutoa maoni yao??
Kwakwel serikal ya ccm mmechoka na kifupi kwa mbinuu hii mnawapa upinzani credit bila kujua......kwa uonevu huu hatutakubal na aman ya tanzania ikipotea wa kulaumiwa n jeshi la polis na serikal ya ccm...hiv polis hamufikiriii nje ya box????
Hii hiii serikal ya ccm imewafanya maboya mnaishi nyumba mbovuuuuu....vibanda umiza...mnafanya kaz mazingira magumu lakin bado mnawang'ang'ania na kuwaona ccm n wa maana!!!!!
Jiongezen jaman....fikirien mnayoyafanya yatagharim vzaz vngi sana pamoja na watt wenu...what will happen ikiwa ukawa watashinda?????????
kuna tetesi kuwa polisi wanapita mitaani wakikuta watu wanajadili siasa wanawakamata et wanatishia usalama wa nchi!!!!
hivi ni kwel nchi hiii tumefikia huko????
tumefikia hatua ya kuwanyima raia kuelimishana wao kwa wao????
kuwanyima raia uhuru wa kuongea na kutoa maoni yao??
kwakwel serikal ya CCM mmechoka na kifupi kwa mbinuu hii mnawapa upinzani credit bila kujua......kwa uonevu huu hatutakubal na aman ya tanzania ikipotea wa kulaumiwa n jeshi la polis na serikal ya ccm...hiv polis hamufikiriii nje ya box????
hii hiii serikal ya ccm imewafanya maboya mnaishi nyumba mbovuuuuu....vibanda umiza...mnafanya kaz mazingira magumu lakin bado mnawang'ang'ania na kuwaona ccm n wa maana!!!!!
jiongezen jaman....fikirien mnayoyafanya yatagharim vzaz vngi sana pamoja na watt wenu...what will happen ikiwa UKAWA WATASHINDA?????????