Kamata bomba la gari

Joined
Feb 12, 2013
Posts
29
Reaction score
1
Kamata bomba la gari kutoka Nissan aina ya ELGRAND ya mwaka 2006 yenye uwezo wa kubeba watu wa nane(8) kwa USD 10,599 FOB. Pia ina sifa zifuatazo; Air Conditioner, Power Steering, Alloy Wheel, Power Windows, Central Lock, Power Mirrors, Rear Window Defroster, Radio, CD Player, GPS, ABS, Air Bags, Key Less Entry. wasiliana nasi 0753369921 au email samsonmichael72@yahoo.com, tembelea web yetu; www.japancarexporter.org.

.
 

What a price difference![TABLE="class: yiv497337868f-12, width: 190"]


[TR]

[TD]NISSAN ELGRAND[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD]Price: $990(-$160)[/TD]
[/TR]

[TR]

[TD="class: yiv497337868f-10"][TABLE="class: yiv497337868f-12, width: 100%"]


[TR]

[TD]Year: 1997[/TD]

[TD]Mileage: 82,000km
Pick n Buy[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]

[/TABLE]
 
Utofauti hupo hiyo ni ya mwaka 1997 yangu 2006, ya kwako imetembelewa 82,000km yangu 68,000km, grama ya kuitoa hiyo yako bandarini aisee utaikimbia gari yako
 


Hili gari au basi?
 
Utofauti hupo hiyo ni ya mwaka 1997 yangu 2006, ya kwako imetembelewa 82,000km yangu 68,000km, grama ya kuitoa hiyo yako bandarini aisee utaikimbia gari yako

si kweli. Gharama ya kutoa hiyo ya 1997 ni ndogo sababu thamani yake ni ndogo sana kulinganisha na ya 2006 pamoja na kulipia uchakavu utalipa kodi ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…