vicent moshi
Member
- Apr 6, 2015
- 92
- 55
Leon Slim mikeka vipUsinikumbushe hizo ishu walahi ntaliaaa[emoji30] [emoji24] [emoji24] !!!yaani ni janga la taifa zaidi ya viroba!serikali ingepitia upya michezo hii hata kama inalipa kodi,ni hatari ya danger!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] mbona poa 2[emoji16] [emoji16] [emoji16]Leon Slim mikeka vip
Suluisho limetolewa, kamari zipigwe marufuku. Au ulisoma heading tu ya uzi?Tusilaumu tu.
Tutoe na suluhisho.
Alafu wakishapiga marufuku.?Suluisho limetolewa, kamari zipigwe marufuku. Au ulisoma heading tu ya uzi?
Jiongeze mkuu, yaani huoni kabisa watapewa kazi gani?Alafu wakishapiga marufuku.?
Utawapa kazi?
Si ndo ujibu sasa.Jiongeze mkuu, yaani huoni kabisa watapewa kazi gani?