mbalazi og
Member
- Oct 28, 2019
- 17
- 15
Haaa haaa haaaaaUnakuwa unasikia limlio la, kudu duduuuu..... Ti ti ti tiiiii.... Simba, Tembo, kima hukupata hata mmoja mkuu...!
Sent using Jamii Forums mobile app
bwanawee nilishawahi kum-double simba na nlikuwa na 400 tu for fun nilijikut nimekinga mikono dahUnakuwa unasikia limlio la, kudu duduuuu..... Ti ti ti tiiiii.... Simba, Tembo, kima hukupata hata mmoja mkuu...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa amedanganya shubamit...Kuna jamaa ndo biashara zake yeye anakuja ananunua tray zima la token anatumbukiza hata mia 2 kama mia 50 alf ana double kwenye kila mnyama akila hela zake ni hatar kuna siku ashakula tokeni(hela) zote zilizokua ndani ya hlo bonanza hdi akawa anamdai mchina
maelezo kwa mujbu wa jamaa angu anae muendesha mchina