Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,950
- 3,815
Kweli kabisa mikeka ni janga la TaifaNa sasa hivi kati ya vijana 100 ukiwachunguza unaweza kukuta ni watatu au wawili ambao hawatandiki mikeka.
Zamani kibongo bongo ilikuwa nikama kazi ya jobless, Lakini sasa hivi imetekwa na watu wenye kazi za maana na vipato vya uhakika.
Sasa kweli mtu mzima anacheza Dubwi kutafuta hela si ni fala huyo..dubwi huwa tunacheza tukishalewa kwenye grocery kama starehe tu...na unajua kabisa hapa nacheza let's say 50000 basi...ila kamari ya hela iko sport ila nako uwe na nidhamu ya hali ya juu sanaUkitoka kwa Mhindi, njoo kwa Mchina ana vimashine vyake vile vya kuweka 200. Anawagonga sana vijana hizo sarafu sio poa. 😁
Mchina hataki hela nyingi, mia mbili tuu.
Utapeli upo wapi hapo.Mhind kaja na njia ya kuwatapeli watanzania
Hakika mkuu. Walimu ndo usisemeNa sasa hivi kati ya vijana 100 ukiwachunguza unaweza kukuta ni watatu au wawili ambao hawatandiki mikeka.
Zamani kibongo bongo ilikuwa nikama kazi ya jobless, Lakini sasa hivi imetekwa na watu wenye kazi za maana na vipato vya uhakika.
Serikali ifike hatua ikubali tu kupoteza kodi kutokana na kampuni za michezo ya bahati nasibu (betting) kunusulu vijana .Mhind kaja na njia ya kuwatapeli watanzania
Safi sana. Paripesa UHAKIKA.Ni kweli huku sio pazuri usije utaacha ndala kama huna puuzi...wandani wandani wanje wanje