hawa ndio maaskari tunaowataka sio wa siku hz mtu kakosa ajira utumishi wa umma huko na usharobaro wake anaingia jeshini full kuuza uza sura,kuchekacheka kwa saaana,muangalie afande hapo juu hilo ndio pozi la kutabasamu chezea askari wa enzi za mwalimu