Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Hapa kuna utata maana inaonekana labda walikua sambamba ndio huyo polisi akamlenga abiria au askari walikua mbele gari ilipokarabia wakamlenga abiria.Polisi Watanzania walio wengi hawana akili.Labda polisi ndiyo walikuwa wanakimbizwa! Au hapo kwenye kioo ndipo risasi ilipotokea? Halafu gari kama Canter ni ya kuikimbiza kwa mabunduki kweli?au dereva/abiria nae alikuwa na bunduki? Haya bana,hongera kwa huyo polisi maana anaweza akapandishwa cheo,hii ndiyo tanzania
Wanajua Commander Zero atatafuta utetezi na hapatakuwa na kesi.Hapa kuna utata maana inaonekana labda walikua sambamba ndio huyo polisi akamlenga abiria au askari walikua mbele gari ilipokarabia wakamlenga abiria.Polisi Watanzania walio wengi hawana akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's my problem mzee coz ni ngumu kumpiga abiria kutokea dirishani. Nimejaribu theories, hypotheses na approaches mbalimbali za kisayansi naona zote zimenigomea.Hapa kuna utata maana inaonekana labda walikua sambamba ndio huyo polisi akamlenga abiria au askari walikua mbele gari ilipokarabia wakamlenga abiria.Polisi Watanzania walio wengi hawana akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
We hufahamu rsasi zetu zinakataga konaThat's my problem mzee coz ni ngumu kumpiga abiria kutokea dirishani. Nimejaribu theories, hypotheses na approaches mbalimbali za kisayansi naona zote zimenigomea.
Wameua polisi tena kwa risasi wakati unajua ukipa risasi nini kitatokea, ishu itafunikwa funikwa yataisha,kaua mwalimu kwa baKamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Juma Bwire amekiri kupata taarifa za awali za tukio la kuuawa na Polisi kwa abiria aliyekuwa katika Gari lililokaidi Amri ya Polisi ya kusimama. Kamanda Bwire ameeleza kufuatilia tukio hilo ili apate taarifa kamili. Alisema kuwa: "Ni kweli nimepata taarifa hizo lakini nazifuatilia ili nijue kwa undani kwa sababu tukio lenyewe lina utata."
Shuhuda wa ajali hiyo ameeleza kuwa, dereva wa Gari aina ya Canter aliyekuwa akiendesha kwa zaidi ya spidi 50 kutokea Iringa, alisimamishwa na Polisi lakini alikaidi Amri ya kusimama ndipo askari hao wa usalama barabarani wakaanza kulifukuza. Alieleza kuwa, Polisi walipokuwa wakilifukuza Gari hilo walipiga risasi kwenye kioo cha ubavuni upande aliokaa abiria na inadaiwa ilimjeruhi kichwani na kufariki dunia. Hata hivyo, Polisi walipifika maeneo ya Kinyanambo C walipiga risasi katika gurudumu la gari na kumlazimu dereva kusimama.
Baada ya marehemu na dereva kupakiwa kwenye gari la Polisi, dereva alikuwa akiwalalamikia askari polisi: kwa nini mmemuua ndugu yangu, kwa nini mmemuua ndugu yangu?
Wajuvi wa mambo ya ajali, hebu angalieni Picha ya gari na eneo lililoharibiwa kioo halafu ufikirie kuwa, risasi ilipigwa wakati wanakimbizana. Akili za kuambiwa?
View attachment 853993
Inatia faraja kwamba na wewe leo umewashtukia PoliceCCM wenzako. Maana huwa hamkawii kusema amejeruhiwa na kitu chenye ncha Kali kilichorushwa toka mbinguni....That's my problem mzee coz ni ngumu kumpiga abiria kutokea dirishani. Nimejaribu theories, hypotheses na approaches mbalimbali za kisayansi naona zote zimenigomea.