Kamanda, Traffic wa Uhasibu ni majipu naomba uwaondoe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,914
30,972
Tunatoka muda huu kumwondoa kijana wetu amekamatwa na hao matraffic toka saa kumi.
Wakaandika makosa matatu jumla elfu 90.
Wakaombwa msaada wakagoma wanataka elfu 50, halafu cha ajabu usiku huu wanapewa elfu 25 wanapokea.

Kwanini usimwachie mtu toka mda huo na je hizo karatasi za faini bada analeta huko anasema alieandikiwa kakimbia ama??
Hao traffic watumbue baba watapewa mtego kama wa J.Muro walie.
 
Mh Mpinga timua majipu hao wanatishia watu kuwaweka ndaniii ili walipe hela nyingi huu nnutoto
 
Mwandishi wa hii topic vipi, hawezi kutulia akaandika chenye kueleweka?
OK acha niwe first to reply
 
Back
Top Bottom