Kamanda Mpinga, Askari usalama barabarani wafuatilie usafiri wa Noah vijijini

pure man

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
553
443
Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabaran angaiken sasa na noah zinazofanya biashara ya usafirishaji hasa vijijin.

Buti zao zimekuwa seat za abiria tena wanakaa watu watatu.Ni hatar sana.Noah inabeba abiria 14 paka 16 halafu ajari ikitokea mnaanza uchunguzi,uchunguz gan,gar hiz sijaona zikupigwa faini zaid ya kitu kidogo.Gar zote noah zinazoanzia madibira kwenda mafinga na zitokazo mafinga kwenda hiyo tabia komavu.

NI HATARI SANA
 
Watusaidie kwakwel maana tutajikuta tunashughulika na effects wakat tukichekelea cause
 
Ni maeneo yote ya vijijini hali iko ivyo tena hawa trafic ni vinara Wa rushwa kuna siku nilishuhudia trafic akipokea rushwa sikuwa tu na camera hii tabia ya madereva kuwafata ma trafic ndio inazaa rushwa sana watu Wa usalama barabarani tafuteni mbinu ya kuzuia hawa madereva kutowafata ma trafic huwa nashindwa kuwaelewa badala ya kuja kukagua gari trafic anakaa mbali anasubiri aletewe pesa hii tabia inaboa sana na nyie wahusika mnalijua INA maana mmekosa mbinu kabisa ya kuzuia huu mchezo? Km mmeshindwa kazi acheni kazi
 
Magar huwa hayaondok paka watu wamejaa kwenye but mkuu,wao a
Wanasema kama hakuna abilia kwenye buti gar halijajaa
Shida sana watu hawapo serious na majukumu yao
Kwa nini abiria wanakubali kukaa kwenye buti??????

Ni maeneo yote ya vijijini hali iko ivyo tena hawa trafic ni vinara Wa rushwa kuna siku nilishuhudia trafic akipokea rushwa sikuwa tu na camera hii tabia ya madereva kuwafata ma trafic ndio inazaa rushwa sana watu Wa usalama barabarani tafuteni mbinu ya kuzuia hawa madereva kutowafata ma trafic huwa nashindwa kuwaelewa badala ya kuja kukagua gari trafic anakaa mbali anasubiri aletewe pesa hii tabia inaboa sana na nyie wahusika mnalijua INA maana mmekosa mbinu kabisa ya kuzuia huu mchezo? Km mmeshindwa kazi acheni kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom