Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,180
- 138,475
Anaanza kwa kuwashukuru watanzania na wanaukawa.Anawataka CCM ijiandae kisaikojia baada ya kushindwa kuongoza.Anaanza kuzungumzia BVR
TBC wasikate mitambokwa hiyo???
Duh!! kwa hicho ndicho kilichompeleka bungeni? Then atawaambia hao CCM kupinga budget? Tuna safari ndefuAnaanza kwa kuwashukuru watanzania na wanaukawa.Anawataka CCM ijiandae kisaikojia baada ya kushindwa kuongoza.Anaanza kuzungumzia BVR.Anazungumza changamoto zake.Anamvua nguo rais kwamba alitangaza vitambulisho vya utaifa kuwa vitatumika kupigia kura ajabu havijulikani vilifikia wapi.Anaonesha viashiria vya JK kujiongezea mda.Anaonyesha udhaifu wa wataalam wa uandikishaji
wengine hawajui kutumia compyutaAnasema tume haina wataalamu wa kuandikisha wataalamu wote!
Watu wanaobahatisha unaweza kuita wataalam? Si hawa ndio walituahidi upigaji kura ya maoni April 30 kwamba uandikishaji ungekuwa umekamilika? Sasa ni katikati ya May, wanamwandikisha nani?Anasema tume haina wataalamu wa kuandikisha wataalamu wote!
lazima ikuboe km pia LIKUWA AKIWAAGA GAMBAZ WOTE KUANZIA WA NDANI NA NJE YA BUNGE.shukurani ndeeefu mpk ina boa
shukurani ndeeefu mpk ina boa