maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 139
Katika mwendelezo wa operationi katika visiwa ndani ya Ziwa Victoria,ambazo zinaendelea kuonyesha mafanikio makubwa kwa CHADEMA,kamanda Mawazo amesema kuwa ,hali ya vijijini kwa chama ni nzuri sana,chama kinapendwa,chama kina wafuasi wengi sana wenye nia ya dhati na mabadiliko,taatizo hawajui wafanye nini ,maana wengi wao wamesikia tu mvumo wa CHADEMA,mitaanikatika katika mazungumzo na vyombo vya habari.Sehemu zenye viongozi wa chama,wengi wao hawana uwezo wa kuielezea CHADEMA na falsafa yake aghalabu hata salam ya chama ni shida.
Hivyo kamanda huyo ametoa wito kwa vijana kujitolea,kwani chama kinahitaji Volunteers zaidi maeneo ya vijijini.ameendelea kusii vijana wenye mapenzi ya dhati na chama na wanakifahamu vyema na wanapenda uwepo wa jamii huru,ni muda pekee wa kuhakikisha wanakisambaza sehemu za vijijini na si kubaki mijini kama kweli vijana wanaitakia mema hii nchi.
Kamanda mawazo na timu yake wanaendelea na ziara visiwani kwa siku tatu hivi leo.
VIVA KAMANDA MAWAZO NA TIMU YAKE,VIVA CHADEMA........
v