Kamanda Mawazo ateuliwa kuongoza kampeni kalenga

Kamanda Mawazo ateuliwa kuongoza kampeni kalenga

GIBA KB

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
367
Reaction score
111
Hii ni kutoka Facebook Wall ya Alphonce Mawazo
Alphonce Mawazo
Nakishukuru chama changu cha chadema kwa
kuniamini na kunipa heshima kuu ya kuwa
kampeni meneja wa hapa Kalenga panapofanyika
uchaguzi mdogo wa ubunge baada kifo cha
aliyekuwa Mbunge Wa jimbo hili
Dr:Mugimwa.Mikoba hii nimeirithi kutoka kwa
Mh:Lema mbunge wa Arusha mini kutokana na
wabunge kushiriki moja kwa moja kwenye bunge
la katiba hivyo kuwa na muda mfinyu sana Wa
kufanya shughuli zingine nje ya bunge. Natambua
sio kazi ndogo na wala so mtelemko.Ninchoweza
kuwaahidi ni mapambano yasiyo na
simile,dhamira yangu ni dhabiti mno,utayari
wangu kutimiza adhima ya mioyo ya watanzania
na ile ya chama changu haipimiki.Hakuna
gharama itakayo kuwa ngumu kwangu kuilipa kwa
ajili ya ukombozi wa taifa langu, nina maanisha
HAKUNA.Nitajie gharama yoyote nitakuambia am
ready to pay ili mradi niwe na uhakika ya kwamba
kama ni damu yangu inatakiwa haimwagiki bure
kwa faida ya wachache.Namwamini Benson
Kigaila ambaye ni operation kamanda,Mimi
humwita General wa vita,namwamini Dr:slaa
kipenzi cha watanzania na MTU shupavu
sana,namwamini Mbowe Mwenyekiti with am aye
ni chachu kubwa ya mabadiliko Tanzania na
inspirational kwa vijana,naiamini kamati kuu ya
chadema.Nilipokea kwa mshituko kidogo taarifa
za wasaliti wawili kule shinyaga,lakini baada ya
kusikia majin a yao nikapumua maana
nawafahamu fika na kwa wakati mmoja
nilishawahi kuwaonya kuwa chama
kingewashinda...yametimia,sina sikitiko hata
chembe waacheni waondoke lilikuwa bomu hatari
sana,nimemwambia Dr:slaa asipoteze muda
kuwafikiria,kwa mila za kiafrika hatuombolezei
mimba iliyo haribika.Mwisho naomba mtuombee
sisi tulioko vitani kalenga,vijana wenu wengi
wamejitoa na wako huku,wengi wao wamekuja
kwa kusukumwa na matamanio ya mabadiliko na
hawajui watakula au kunywa nini. Kama una
chochote waweza kutuma kupitia namba Yang
0756039703 au kama unamjua yoyote aliyeko field
huku tafadhali msaidie.ALUTA CONTINUA.
 
pamoja sana.
kamanda naona kaongea maneno yakijasiri sana aisee yupo tayari dam yake imwagike.

waafrika huwa hatuombolezi mimba iliyoharibika? teh teh teh teh hii imenifurahisha sana aisee
 
Mimba iliyoharibika haina maombolezo. Asante kamanda hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom