Hebu nikumbushe mkuu;Habarini za asubuhi wapendwa kaka na dada zangu wakubwa shikamoni ila kama upo chini 25 tulia.
Wanajamvi kuna taarifa nimezipata juu juu ila nikaone ngoja niulize na waswahili wanasema kuuliza si ujinga, Je! Kuna mtu anafahamu kamanda ocd wilaya ya singida mji ambae alipotea hadi sasa ni miaka kumi na hajawahi kuonekana hadi leo????
Ngoja mkuu nami ndio natafuta ubuyu kamili maana hizi nyepesi nimezipata kwa afisa mmoja hapo kituoni sasa nikashindwa kumhoji mengi sana kwa sababu kilichonipeleka pale haikuwa hicho ila baadae ndio kadumbukiza mada hiyo mke wa huyo kamanda aliepotea nasikia ni mkaguzi wa shule za msingiHebu nikumbushe mkuu;
-Alikuwa anaitwa nani?
-Mazingira gani alipotea?
-Umri wake na mwaka aliopotea?
Vema.Jitahidi uje na habari kamili.Ngoja mkuu nami ndio natafuta ubuyu kamili maana hizi nyepesi nimezipata kwa afisa mmoja hapo kituoni sasa nikashindwa kumhoji mengi sana kwa sababu kilichonipeleka pale haikuwa hicho ila baadae ndio kadumbukiza mada hiyo mke wa huyo kamanda aliepotea nasikia ni mkaguzi wa shule za msingi