Kamanda Kova kamata hawa mafia

Kamanda Kova kamata hawa mafia

crabat

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
4,323
Reaction score
2,210
Kamamda Kova tunajua umafatilia Jamii forum .
Jiji lako limevamiwa na wezi na matapeli kutoka Italy wako wengi kwa uchache nimewashuhudia kama 6 katika gari tatu aina ya RAv 4 tofauti wakizunguka jijini moja ya gari hizo ina namba T 303 CBM.
Hawa wezi waki mafia kutoka Italy wana uza mali feki ikiwamo suit za china wana jidai ni za Italy na huwa ukisimama tu wanakufata na kuingiza suit au poti ndani ya gari yako na kuanza kuku ngania umlipe.
Ni vinganganizi sana.
Hawa wataliano ni mtandao mkubwa wamekua wakifanya hivi nchi nyingi na hutumia gari za kukodi na baada ya kutapeli huondoka hotel wanazokaa na kuacha deni.
Wametapeli sana Canada USA Uae Qatar UK nk
Kamanda kova tuma vijana wako mitaani hasa maeneo ya masaki na msasani wamejaa na wanavamia sana ma TX na wenye magari.
Tafadhali chukua hatua kabla watanzania hawajalizwa na mafia hawakwanza n8 kuifatilia gari hio ilotajwa hapo juu na kuukamata mtandao wao wa kuuza suit ya $30 kwa $500
 
Hivi unajua maana ya MAFIA!!!? mtu amekuja kukuzia suti ya dola 30 we ukanunua kwa dola 500 huyo ni MAFIA? hiyo inaitwa ''BUYER BE WARE'', huyo sio Mafia ni mfanyabiashara kama biashara zingine, toka lini mtu akalazimishwa kununua kitu. We utakuwa na mambo yako binafsi na mmliki wa hilo gari.
 
Pamoja na gharama za usafirishaji bado faida inakuwa imezidi mno.

Kwa wale wapenda sifa hapo ndipo wanapogongwa
 
Hivi unajua maana ya MAFIA!!!? mtu amekuja kukuzia suti ya dola 30 we ukanunua kwa dola 500 huyo ni MAFIA? hiyo inaitwa ''BUYER BE WARE'', huyo sio Mafia ni mfanyabiashara kama biashara zingine, toka lini mtu akalazimishwa kununua kitu. We utakuwa na mambo yako binafsi na mmliki wa hilo gari.

Ni wezi kwa vile wameingi kwa viza ya utalii na wanafanya biashara.
Pale kariakoo TBS kila siku wanachoma mali feki
Mafia ni general term kwa mijizi ya italy.
Na hawa ni mtandao .
Kama uko manzese nyamazs hawakujusu
Lakini wamekua ni public nuisance.
Haiwezekani wafanye biashara kwa visa ya utalii
 
Kamamda Kova tunajua umafatilia Jamii forum .
Jiji lako limevamiwa na wezi na matapeli kutoka Italy wako wengi kwa uchache nimewashuhudia kama 6 katika gari tatu aina ya RAv 4 tofauti wakizunguka jijini moja ya gari hizo ina namba T 303 CBM.
Hawa wezi waki mafia kutoka Italy wana uza mali feki ikiwamo suit za china wana jidai ni za Italy na huwa ukisimama tu wanakufata na kuingiza suit au poti ndani ya gari yako na kuanza kuku ngania umlipe.
Ni vinganganizi sana.
Hawa wataliano ni mtandao mkubwa wamekua wakifanya hivi nchi nyingi na hutumia gari za kukodi na baada ya kutapeli huondoka hotel wanazokaa na kuacha deni.
Wametapeli sana Canada USA Uae Qatar UK nk
Kamanda kova tuma vijana wako mitaani hasa maeneo ya masaki na msasani wamejaa na wanavamia sana ma TX na wenye magari.
Tafadhali chukua hatua kabla watanzania hawajalizwa na mafia hawakwanza n8 kuifatilia gari hio ilotajwa hapo juu na kuukamata mtandao wao wa kuuza suit ya $30 kwa $500
Hawa jamaa huwa wana mbinu nyingi. Wanaweza wakakudanya kuwa eti walikuwa kwenye maonyesho ya mavazi na wamebakiwa na jacket au suti mbili na wako njiani kwenda airport (kurudi kwao) hivyo wanauza zile nguo ''zilizobaki kwa bei ya kutupwa'' kwani wakienda nazo itapidi walipie kodi airport. Sasa kuna ujanja mmoja wa kuwakomoa ambao wasela walikuwa wanatumia Ulaya. Walikuwa wanajifanya wamezipapatikia sana sana zile nguo lakini pale walipo hawana fedha za kununulia kwani wallet wameiacha nyumbani. Hivyo basi wanamwomba jamaa ''kama anaweza kuwasogeza mpaka nyumbani''. Jamaa anakuendesha mpaka nyumbani unaingia zako ndani kimoja. Umepanda tax ya bure!
 
Hapa hakuna cha kamanda kuna amanda upo
 
Tunatoa Tahadhari kwa vyombo vya usalama hawa wataliano wamevamia jiji na kuwauzia Watanzania na wageni vitu feki kwa ulaghai mkubwa.
nadhani nchi hii sio jalala na TBS kila siku inakamata mali feki na pia kukamata imitations ili kulinda haki ya mlaji.

vipi leo watanzania tunakua laini kiasi hiki watu wanai ngia nchii hii kwa viza ya utalii na kuitumia kufanya biashara ?
wako hii group ya wageni zaidi ya 10 wanaojulikana tayari kutapeli watu...
leo uzuri amenaswa na mmoja wa marafiki kwenye kamera akitaka kuuza kitchen equipments !!

italian.jpg

huyu ni mmoja kati ya matapeli na walio ngia nchini kwa visa ya utalii na sasa wamegeuka machinga kuuza vitu feki

AMA KWELI TANZANIA IMEGEUZWA JALALA LA TAKA KILA MTU ANAINGIA NA KUUZA UBUYU
 
Hivi unajua maana ya
MAFIA!!!? mtu amekuja kukuzia suti ya dola 30 we ukanunua kwa dola 500
huyo ni MAFIA? hiyo inaitwa ''BUYER BE WARE'', huyo sio Mafia ni
mfanyabiashara kama biashara zingine, toka lini mtu akalazimishwa
kununua kitu. We utakuwa na mambo yako binafsi na mmliki wa hilo
gari.

Mafia ni nani Mkuu? Tupatie tafsiri ya Mafia kwa kifupi tu tafadhali
 
Hili taifa linahitaji kufanya toba maana kila aina ya ujinga inafanyika nchi hii
 
kwenye kuwaita mafia umefika mbali sana na sio kazi ya kova kupambana na mafia, maana mafi ni mtandao wa kijasusi. hao ni vibaka matapeli tuu ambao sio lazima ununue vitu vyao. kwani walikutishia kwa bastola?
 
Hakuna mafia hapo...una lako jambo mkuu...vipi Wachina ambao wanatishia kuwaondoa vijana wetu haoo kariakoo...umeona viza zao...hebu undani wa wewe na hao waitaliano wa suti..???
 
labda kwa lugha nyepesi tuwafananishe na wale wa kariakoo wanaokuuzia simu kumbe ni kipande cha sababu ha ha ha
 
mhh wapo huko zenji bar wengi tu wanauza mpaka simu
 
Back
Top Bottom