View attachment 99417View attachment 99418
sasa jamani hao jamaa wengine sijui ndo wale tulioambiwa juzi maana jilo smile lao?????? kama ludovick na yeye anavyojifanyaga kuonyesha ishara ya victory
: Mungu atakujalia Henry utashinda tuuuuu
time will tell ....nina wasiwasi na hao vijana wengineSmile ni symbol ya matumaini, hakuna njia nyingine hapo zaidi ya ku-smile kwani hata ukikunja uso bado upo nguvuni na sana sana utasababisha ngozi ya uso kukunjamana wakati mahakama bado haijakutia kenye hatia
time will tell ....nina wasiwasi na hao vijana wengine