donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Dec 19, 2018 Thread starter #21 adriz said: Kwani hata nikikimbilia kolomije bado watanisaka? Click to expand... Hahaha mkono wa dola ni mrefu mkuu
adriz said: Kwani hata nikikimbilia kolomije bado watanisaka? Click to expand... Hahaha mkono wa dola ni mrefu mkuu
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,568 Reaction score 10,624 Dec 19, 2018 #22 Jokate na Hapi utafikiri wamezaliwa tumbo moja aina yao ya kupenda sifa inalingana kabisa.
1stMay JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 571 Reaction score 778 Dec 19, 2018 #23 mama kubwa said: Jokate na Hapi utafikiri wamezaliwa tumbo moja aina yao ya kupenda sifa inalingana kabisa. Click to expand... Mi namuelewa...she is trying to prove us wrong. Kwamba hio nafasi hakuhongwa ni juhudi zake binafsi...ila raha sana uhongwe afu ukifanyie kazi ulichohongwa. Tofauti na lile la tanzanite limenenepeana tu na mtori wa uzazi. Go JoJo tuwakilishe mama...
mama kubwa said: Jokate na Hapi utafikiri wamezaliwa tumbo moja aina yao ya kupenda sifa inalingana kabisa. Click to expand... Mi namuelewa...she is trying to prove us wrong. Kwamba hio nafasi hakuhongwa ni juhudi zake binafsi...ila raha sana uhongwe afu ukifanyie kazi ulichohongwa. Tofauti na lile la tanzanite limenenepeana tu na mtori wa uzazi. Go JoJo tuwakilishe mama...